Pole mkuu kwa huyo mwanamke wako aliyefunga masikio! Ndoa ndio chanzo cha Furaha na wakati huo huo kinaweza kuwa chanzo cha huzuni maishani!NATAMANI MKE WANGU ASOME HII THREADY LAKINI KWAVILE AMEFUNGA MASIKIO NA KIBURI AKILINI MWAKE NAJUA KUNA SIKU ATANIKUMBUKA,NDOA NI LAANA NA NI BARAKA,KWA ANAYEVUNJA MAKSUDI HUAMBATANA NA LAANA
NAWASILISHA,,
"Mwanamke huishi kulingana na matakwa ya mwanamke" Nieleweshe hapa mkuu umeniacha njia panda.Ungejua tuuu kuwa mwanamke huishi kulingana na matakwa ya mwanamke hata usingezungumza yote haya.
Mwanamke ni mama wa mtoto mkubwa wa kiume, ni jukumu lake kumchagulia malezi
"Mwanamke huishi kulingana na matakwa ya mwanamke" Nieleweshe hapa mkuu umeniacha njia panda.
Halafu pia mwanamke ndio anayemchagulia maisha huyo mtoto wake mkubwa wa kiume? Kivipi? Yaani Mme achaguliwe maisha na mke wake? Au sijaelewa vizuri labda. Napo naomba ufafanuzi kidogo pengine nami nijifunze.
Ahsante mkuu ila ipo sikuPole mkuu kwa huyo mwanamke wako aliyefunga masikio! Ndoa ndio chanzo cha Furaha na wakati huo huo kinaweza kuwa chanzo cha huzuni maishani!
Hata hivoHii inahusika pande zote mbili.
Hapo kwenye kunyenyekea mmhhh
Hapana aisee.
Mbona unamtolea mwenzako mapovu.If so. What's the problem then??? Sili???? Sinyi???? Sivai???? Sigegedwi????? Sipendwi??????? Sitamaniwi??????? Wapi shhiddddah!???
Sio user ni wewe.usser anahusikaje hapa????? Umeanz mambo yako eee?!?
Wacha ujinga bhanaIf so. What's the problem then??? Sili???? Sinyi???? Sivai???? Sigegedwi????? Sipendwi??????? Sitamaniwi??????? Wapi shhiddddah!???
Aisee wapo, mfano mzuri ni mke wangu. Hivyo vigezo vyote anavyo na sifa zingine nzuri ambazo hakutaja. Maisha swafi kabisa.Kama yupo mwanamke mwenye vigezo hivyo hapo juu, Naomba ajitokeze tukamuweke Kwenye MAKUMBUSHO YA TAIFA kwasababu atakuwa ni hazina kubwa sana iliyobaki
Unamaanisha nini? Mtoto hawezi kuchukua mapenzi ya baba labda kama huyo mama anamtumia kama kisingizio tu![emoji15]Sio kweli, mwanamke akishazaa hua anasukumia mapenzi yote kwa mtoto
Unakuta baba hujaliwi tena???
Mh. Kama hayajakukuta bhasi[emoji134] [emoji134]Unamaanisha nini? Mtoto hawezi kuchukua mapenzi ya baba labda kama huyo mama anamtumia kama kisingizio tu![emoji15]
Namba 13 hapa wengi wanafeli kwa kuongopewa na maumbo yao na hii ndio imepelekea kuvunja mahusiano na mwanamke nilie tokea kumpenda kwa dhati sanaWanawake wenzangu!
Natamani sana sote humu tuwe wake wema kwa wame zetu au mahusiano yetu kiujumla. Hivo naomba kushea kitu hapa. Hii nimeona mahali nikabarikiwa nayo kuleta kwenu wapendwa.
BUSARA KWA WANAWAKE.
1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubutu wako.
2. Mwanamke anaemuheshimu mumewe ni mwanamke bora ambae kila mwanaume angetamani kuwa nae.
3. Tabia yako na misimamo yako ndio itakayomfanya mumeo ajute au afurahie kukuoa wewe.
4. Kuwa mke bora inakubidi uwe vizuri katika maarifa ya kutawala hasira zako na sio kuwa mtu wa kulipiza visasi.
5. Kuwa kiongozi huko kazini kwako lakini kuwa mtu wa kunyenyekea nyumbani kwako kwa mumeo. Hiyo ni busara.
6. Usiweke mashindano na mumeo, mpe hongea na mtie moyo kwa kila hatua anayopiga katika maisha.
7. Kuwa na ubinadamu, sio kosa dogo tu mumeo amefanya ukatamani kulipiza kisasi. It won't help u!
8. Kuwa mkarimu, kila mwanaume anamuheshimu mwanamke mkarimu na mwenye msimamo.
9. Usijaribu kumpa adhabu mumeo ya kumnyima chakula cha usiku kitandani, hii itamlazimu kutafuta chakula nje ya ndoa.
10. Hakuna kitu kibaya kama utakubali kuwa ulikosea kama kweli ulikosea. Kuwa mrahisi kukubali kama kweli ulikosea. Na omba radhi pale inapobidi.
11. Jiandae kumsamehe mumeo pale anapokosea kwa maana mke atoae msamaha kwa mumewe ni mke mwema tofauti na yule aliejaa visasi.
12. Tengeneza maamuzi ya kuwa mke mwema, pasina kuwa na hofu yoyote na Mungu atakubariki.
13. La mwisho na la muhimu tambua kwamba mwanamke aliejaliwa umbo zuri na sura nzuri pasina maarifa kichwani anafaa kwa usiku mmoja, lakin yule mwenye maarifa na ufahamu yeya afaa kwa maisha yote!
Akhsanteni na weekend njema
Mkuu inakuaje hiyo? Mapenzi anayostahili kupewe baba/mama ni tofauti na mapenzi ya watoto. Sio kweli kwamba watoto wanachukua mapenzi ya baba au mama, hii ni kisingizio tu. Huyo mtu akichunguzwa vizuri utagundua kuna mchepuko anampa mahaba.Mh. Kama hayajakukuta bhasi[emoji134] [emoji134]
Mwanamke mkorofi utamjua tuYie hamtaki wake, mnataka malaika!
Kwani wote wanaamini katika Mungu??Mbona masuala ya Mungu sijayaona hapo? Hilo ndilo la msingi zaidi, ukizingatia hilo kwa dhati mengine yanafuata tu.
Alafu ikumbukwe mke ni reflection ya mumewe.