Wasichana wa kisasa

You have just made my day,..nilikua napita ila in just had to say something ahahaha
ukweli unaouma huu..
Umesahau point moja:
mume akifilisika wazazi hawawezi mtupa
Ila pia wanaume pia wanaangalia hivyo vitu kuogopa tegemezi
 
Hao ndo tunaowatumia kama Kondom au kama mpira wa Poool Table,,,Mwanamke wa KUOA anajulikana na wa kufanya nae MAZOEZI anajulikana.
Naunga mkono hoja 100%. Waache waendelee kufanya utafiti wa mababa wakwe na mama wakwe sisi wenye visenti tuendelee kuwagegeda mwisho wa siku tunawa-dampo. Akigeukia upande wa pili kwa yule aliyemkataa awali naye amekwisha oa maskini mwenzie na wanaishi kwa amani. LOL.
 

....that is Boflo at his best! 🙂
 
Akiuliza kuhusu familia yng na mm nahoji kuhusu yk nikiona zinafanana namwambia km rahisi mbona kwenu wameshindwa
 

bofloo!!!we nooma,umenitouch aje??nshapigwa miswali iyo utafkiri niko Guantanamo bay,kwenye CIA interrogation
.....kwi kwi....
 
Sasa kama mimi ambaye Wazazi wote wamefariki (ni kweli) ndiyo niseme nini?

Labda tu ntatamba kuwa nimebaki mwenyewe, SUPERSTAR wa JAMIIFORUMS.
Boflo, wewe unataka kama sisi Wakiwa tuseme nini kwa hapo?
Aaaah! Wapi! Inategemea na wewe umejipanga vipi! Kama uko vizuri kama mzee Machache hata wazazi wako hata wakiwa ombaomba i will marry you dear!!!!!!!!!! You personally has more that what i can dream.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kabla ya hapo hukuwa unapigwa Ngeu za hapa na pale? Maanake hadi Ml.12 si mchezo,,,by the way m/Mke mwenye kukupiga Ndui za hapa pale hafai hata kidogo.
 
Sasa kama mimi ambaye Wazazi wote wamefariki (ni kweli) ndiyo niseme nini?

Labda tu ntatamba kuwa nimebaki mwenyewe, SUPERSTAR wa JAMIIFORUMS.
Boflo, wewe unataka kama sisi Wakiwa tuseme nini kwa hapo?
pole sana sikonge....
ngoja nimuulize Kaunga anisaidie kujibu
 
Last edited by a moderator:
Nani anataka kufa au kuwa maskini karne hii...hakunaga
 
Wadada kumbe ndio tuko hivi eeehhh! halafu tuje kulalamika siku hizi hakuna waoaji??
 
pole sana sikonge....
ngoja nimuulize Kaunga anisaidie kujibu

Unanionea bure Boflo, halafu lara 1 keshamaliza, mpango mzima ni wewe muhusika.
Ni tena honestly speaking, wadada wengi wanaprefer mtu ambaye hana ties kubwa za ndugu huku nyuma; so as sad as it is kaka yangu angekuwa anatafuta angekuwa na chance kubwa sana ya kupata kuliko mwenye wazazi walio hai!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kabla ya hapo hukuwa unapigwa Ngeu za hapa na pale? Maanake hadi Ml.12 si mchezo,,,by the way m/Mke mwenye kukupiga Ndui za hapa pale hafai hata kidogo.

Ahahahaha Kaka nilikuwa navumilia sana tumizinga hutu twa elfu 80!

Aliwahi niambia anataka KING'AMUZI yy then akaniamrisha nimnunulie pia na dada yake wa Kigamboni na Mama yake Tabata ahahahaha!
 
Ndio hao mwisho wa siku wanakuja kuliwa na madereva wa bodaboda
 

Ukishadanganya kazi za wazazi wako siku ya harusi utaletwa wale wa kukodi kama kawaida ya vijana wa mujini au utawaleta wazazi wako wa ukweli? Ukileta wa kukodi siku wazazi wakija utamwambia nini? na ukileta wazazi wako wa ukwelie watakapotia ile "kamba" ya katani kuashiria mmepewa ndama usiku utafaidi "honey moon" yako?

Ukweli utakuweka huru Boflo
 
Mke mwema nani awezae kumwona? Maana kima chake chapita kima cha majirani (mithali 31: 10)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…