Wasichana wa kisasa

Wasichana wa kisasa

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Wasichana wa siku hizi wajanja sana,wanajua ku-point ukweni hali ilivyo,unaweza kukaa nae kama wapenzi hata miaka zaidi ya 10 ila ndoa hataki coz ashajua ukoo wenu sio anaoutaka anakulia Timing akutafutie kosa akumwage....Anakuuliza babako anafanya nini unamjibu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa hivi amejiairi ni Mkulima wa Mananasi.,anajua kimenuka hajalipwa mafao...Na mamako Je...Unamjibu Mwalimu,anajua atalishwa chaki tu maana hali za Walimu twazijua.
Wanaogopa siku ya harusi muda wa zawadi Baba mkwe anakupa zawadi ya Minazi ya shamba lake la Kibaigwa eti Kilimo ndo uti wako wa mgongo,thubutuuu na Mama mkwe na walimu wenzie wanakuja wanajirusha-rusha meno nje wamejitwisha Cherehani na godoro la Banco..Sistaduu gani anataka kuwa Mkulima au Fundi Cherehani kizazi hiki??
Ukiona umekataliwa ndoa ujue kuna mengi,utasikia mi bado sijajipanga kumbe mdada anakwepa Wakwe na zawadi loko loko kwenye harusi,atauzaje sura kwa Mashosti na Cherehani,unataka achekwe kwenye DP za Blackberry???...Wenzio Wanaota Funguo za Vitz kutoka kwa Baba Mkwe...Cheque ya Milioni 15 kutoka Kamati ya Maandalizi...Washing Machines....Wakaka, ukiona dada anakuuliza Wazazi wako wanafanya kazi gani waza mara 2 kabla hujajibu,tena bora ujibu Babako Balozi wa China na Mama ni Afisa Uajiri Wizara ya Kazi na Maendeleo ya Vijana,utamsikia 'Baby when is our wedding I cant wait to be ur baby mama' i love u so much Boflo
 
Mkuu msichana anayenipenda kwa sababu ya wazazi wanafanya kazi wapi huyo hanifai.. Ni bora nitafute mlupo wa pale Jolly nijipoze
 
++
Ha ha Matarajio makubwa ya maisha ndio yanayowafanya wawe complicators
++
 
Boflo u made me smile, laugh and last shout out loud this morning hahahahaaaaaa, thanks for company my breakfast. Good day. Bora mie sipo kwenye rika hilo huko nilishapita, enzi zetu hayakuwepo hayo.
 
Last edited by a moderator:
.
Wanaogopa siku ya harusi muda wa zawadi Baba mkwe anakupa zawadi ya Minazi ya shamba lake la Kibaigwa eti Kilimo ndo uti wako wa mgongo,thubutuuu na Mama mkwe na walimu wenzie wanakuja wanajirusha-rusha meno nje wamejitwisha Cherehani na godoro la Banco..

hahaaaaa umeniacha hoi hapo maana pozi la shamba la minazi
 
Demu kama huyu nngemtumia kama toilet paper.



Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hao ndo tunaowatumia kama Kondom au kama mpira wa Poool Table,,,Mwanamke wa KUOA anajulikana na wa kufanya nae MAZOEZI anajulikana.

Ahahahah ni ngumu sana siku hizi kuwatambua!
Mm X wangu alikuja ghafla ofisini eti ksioba gari Rav4 linauzwa kisutu akasisitiza kaja ghafla ofisini kwangu NIMPE milion 12 tu akalichukue haraka!
Niliposema SINA hata robo ya hela hiyo akaenda ghetto kwangu akachukua wigs zake zote na SIJAMUONA tena!
 
Aaaah! Wapi! Inategemea na wewe umejipanga vipi! Kama uko vizuri kama mzee Machache hata wazazi wako hata wakiwa ombaomba i will marry you dear!!!!!!!!!! You personally has more that what i can dream.
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wengi wao wanaoangalia maswala haya ndio wanaoishia kutoolewa, wanabakia kama mahawara wanaume wenye ndoa zao.
 
Back
Top Bottom