miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
hapo bolded umeandika kimaasai sijuiiiiiiii, hahahaha
unaona nilivyochanganyikiwa mpaka naandika vitu vya ajabu
hapo bolded umeandika kimaasai sijuiiiiiiii, hahahaha
unaona nilivyochanganyikiwa mpaka naandika vitu vya ajabu
hahahahha usijali bana tupo pamoja mpaka kuleeee
asante mpenzi yani nilichanganyikiwa nikajua ndoa ndo basi alafu unaku,buka ulisema january unapeleka mahari cha ajabu umepotelea
nakumbuka dear ila mshahara umechelewa kweli kipindi hiki,
Wanalima haooo,ukipika ugali usiku utakula mwenyewe.Any way Mngeta-Mchombe,Mbingu nk wapo poa sana.Tonge na ngodoi,tonge na ngodoi mchuzi haaaa.Mlamu kalia ndili.
Habari zenu wadau,napenda kufahamu sifa za wasichana wa kindamba,maana kuna mmoja nataka kuanzisha mahusiano nae ya kimapenz..Nitashukuru kwa msaada wenu
moyo Uradhi ila mshahara u dhaifujamani kumbe ulikuwa ujaanda mpenzi kweli unania ya kunioa
moyo Uradhi ila mshahara u dhaifu
subiria sana ole wako usiopeleke hiyo mahari nakuacha
hawa sifa yao kuu ni kupenda kula samaki...nasikiaga wanaweza mtia samaki mzima mzima mdomoni kisha miba wanachambulia humo humo mdomoni......