Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
*Msichana unamtembelea Mwanaume wako na Mkoba mkubwa umejaa vitu mbali mbali isipokuwa nauli. Kwann lakini??.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumechoka*
Muda mwingine inabidi ufanye maamuzi magumu kama hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mmoja tulivyomalizana nikamsindikiza stend nikamuonyesha daladala nikamwambia ok safari njema ile kugeuka nakuta bado ananikodolea macho ila nikavunga sielewi anataka nini, ila kimoyomoyo ile siku atakuwa alirusha bonge la tusi