Washonaji wa suti za kisasa kwa style yoyote

starson85

Senior Member
Jan 19, 2015
146
14
Wale wataalam wa kushona suti za kileo na style zote utakazo taka njoo tukuvalishe upendeze iwe ni harusi au sherehe yoyote ile tutakushonea suti nziri zenye mvuto kwa garama nafuu tunaanzia laki 5 kwenda juu piga 0656436662

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Kwa sababu ya urefu wangu, suti za dukani hasa makoti huwa zinakuwa "njiwa." Hivyo napendelea kuvaa kaunda suti. Anyways, siku nikitaka kuoa nitakutafuta.
 
weka picha, marketing huwa mnajifunzia wapi?
au unapima upepo kwanza.

weka picha, rangi mbalimbali na hizo style mbalimbali.
biashara za gizani ngumu kuaminika hata kama namba zipo.
 
Dah mtu unafanya marketing then hauweki location nguo unazoshona utapata Wateja kweli
 
weka picha, marketing huwa mnajifunzia wapi?
au unapima upepo kwanza.

weka picha, rangi mbalimbali na hizo style mbalimbali.
biashara za gizani ngumu kuaminika hata kama namba zipo.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Asanten kwa mlio koment nimeweka picha labda netwek hajawa poa anagalien post nimeipost tena na wale wateja wa mikoan kwa kweli bado hatuja panuka sna tuko dsm ofis iko mwenge hata kma hina muda unaweza kutupigia tukja kukupima ulipo

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
mafundi cherehanii ndo walinifanya nkaacha kushona nguo nkawa nnanua tu za speshoo..yaan vipimo anakuchukua vizuri tuu kukupa nguo sasa hapo ndo shida utasikia oo njoo jumapilii ohoo juzi nilikuwa kwenye msiba njoo juma nne ..yaanii kuna huyo mmoja alinizungusha kunipa nguo yangu mpaka shughulii ikaishaa ..
 
Hee kumbe mnaovaa suti mnakazi kubwa, suti laki tano ndiyo bei nafuu, kumbe hii nguo nitaendelea kuigopa.
 
Acha uoga.
Mkuu kutokana masharti ya uvaaji suti nikijumlisha na shuhuri zangu, huwa nizipitia mbali kidogo. Ninayo moja nilijitutumua kwa laki moja na hamsini, ukweli siku ile niliuumia sana maana ilikua kama unform ya wanakamati ya harusi. Sasa tangu niivae mwaka jana kwenye hiyo harusi sijui nitaivaa lini, killa nikipata mialiko nikikumbuka joto la Dar hainitumini kuivaa, ila sio mbya itabaki kwaajili ya ikitokea dharula.Ila yote kwa yote usingae anashangaa watu wanatembelea magari ya ml.80 wana sababu, kuna sehemu nimeona anatangaza Simu, kuna ya 1,870,000 Kuna jamaa kauliza hiyo simu ya bei hiyo in AC ndani maana joto la Dar, najua anauliza kwa kutania tu, ila nimetafakari sana, kuwa tutumie kulingana na kipato chako na si zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom