Tunashona suti za kisasa kwa mtindo wowote unaotaka iwe ni modo au style ingine unayotaka

starson85

Senior Member
Jan 19, 2015
146
14
Karibu ushone suti uonekane smart kila wakati kwa garama nafuu na utapendeza sana suti za vijna,wazee ,watuwazima na watoto wote mtapendeza tupigie 0656436662 karibun sana ona picha hapo chini

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Picha hamna wala location ya ofisi usilazimishe wateja wakupigie simu kuuliza maswali rahisi Kama hayo . Karibu Kwenye uwanja wa biashara sema ulipo tuje maana huwezi kunishonea suti Kwa simu mkuu
 
Pole sna hii post nilikosea so nimeposta ingine amabayo niweka picha na maelezo ya ofisi ilipo ila kma ukihtji tunawez kukufwata ulipo tukakupima na ukichagua disain yako tunakushonea

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Pole sna hii post nilikosea so nimeposta ingine amabayo niweka picha na maelezo ya ofisi ilipo ila kma ukihtji tunawez kukufwata ulipo tukakupima na ukichagua disain yako tunakushonea

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
iyo post nyingine weka link apa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom