hivii huwa ni chemically gani hiyo,,,,mpaka polis kuvua nguo,ujue hiyo ni kifaa kizuri kwa kuzima ghasia.
jk analiacha jeshi la polisi likiwa well eguiped kama New York Police Department(NYPD)
Wacha yakongoroke na kutumbukia katika mashimo. Wamelaaniwa walioyaleta, pamoja na magari yenyewe! Siku ya kukabidhi magari haya, jamaa alijisifia bila aibu, eti kwa kazi ya kuleta magari ya washawasha! Badala ya kuleta vifaa vya hospitali na dawa za kutibu wagonjwa katika hospitali zetu, Kikwete analeta magari ya washawasha, na kujisifia! Tutakukumbuka kwa jinsi ulivyotutesa Watanzania!