Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
mmmh !! inatia uchungu !!!!?
=HalafuHarafu kuna watu wamewapa maji na mafuta, wameniboa wangewaacha tu nao waone maumivu ya kumwagia watu
=Halafu
Ni kweli mkuu ni wangeyaleta na madereva
hivii huwa ni chemically gani hiyo,,,,mpaka polis kuvua nguo,ujue hiyo ni kifaa kizuri kwa kuzima ghasia.
jk analiacha jeshi la polisi likiwa well eguiped kama New York Police Department(NYPD)
Kwaani miaka yote nyie ndo mnawafundisha kuyatumia?au yanakuja na madereva wake toka nje
Wananchi tunaupendo wengine limekwama wakawasaidia kusukuma
mkuki kwa mchungu kwa binadamu nguruwe
kumbe hata polisi wanawashwa???