Washawasha polisi wavua nguo

Washawasha polisi wavua nguo

Harafu kuna watu wamewapa maji na mafuta, wameniboa wangewaacha tu nao waone maumivu ya kumwagia watu
Maisha hayaendi hivyo mkuu,

Kuna habari niliiona ilitokea USA kwenye gereza fulani ambapo Askari wa ulinzi alishikwa na shinikizo la damu "Heart attack" na kudondoka chini,basi wale wafungwa ndio waliompa huduma ya kwanza yule Askari aliyekua akiwalinda.
 
Hawa jamaa siwapend mpaka keshokutwa. Wakome sana. Walizoea kuwamwagia wenzao leo nao wameona joto la jiwe.
Safi sana. Nimeipenda
Uwapendi na ukipata shida unaenda kwao wakusaidie najua polisi anachukiwa kwa sababu yy anahakikisha sheria zote za nchi zinafuatwa tuwapende niwapiganaji Wa nchi yetu
 
Ila kwangu yameshatoka kwakua mm co ccm na ccm inaweka watu mto ruvu hao ndo mambaya hayatatoka kwao na hawatamuona Mungu,kwakua kuua ni dhambi.na bado Mungu atacmama mpaka ccm mlie up !
 
Uwapendi na ukipata shida unaenda kwao wakusaidie najua polisi anachukiwa kwa sababu yy anahakikisha sheria zote za nchi zinafuatwa tuwapende niwapiganaji Wa nchi yetu
Kweli siwapendi kbsa. Hawa jamaa ni wahuni sana. Siwezi kuwaamini hata kidogo na sifikirii kbsa kuwa nao.
 
Back
Top Bottom