Washawasha polisi wavua nguo

Washawasha polisi wavua nguo

Hiyo dhoruba imewatokea maeneo ya ofisi ya wilaya ya Cuf wilaya ya kinondoni. Na ndo kwa kiasi kikubwa wamewasaidia kuwastiri. Malipo ni hapa hapa duniani
 
Kwi Kwi Kwi Kwi km ningewaona hao polisi walivyochanganyikiwa. Na hao wananchi Wana upendo wa agape loh
 
AKIRIPOTI UFOO SARO gari la maji ya kuwasha limefyatuka pump na kuwamwagikia polisi ambao waliwashwa mpaka kufikia kuvua nguo maeneo ya kinondoni.chanzo itv habari
wamekunywa dawa waliyoikoroga wenyewe.

noma!
 
Safi sana.Mungu hadhihakiwi.wao wanafanya majaribio kwa wananchi km vile ni miungu kwa wanyonge,Leo Mungu kawaumbua.safiiiiiiii,na bado hiyo migari itapinduka na kuwakata vichwa na miguu,ndo watamheshimu Mungu na watu walioumbwa km wao.endeleeni,tu mtafika mnakokutaka bado kidogo tu.
 
Ukitaka kupima amani ya nchi na ukali wa maisha, basi Soma comments za hii thread
 
AKIRIPOTI UFOO SARO gari la maji ya kuwasha limefyatuka pump na kuwamwagikia polisi ambao waliwashwa mpaka kufikia kuvua nguo maeneo ya kinondoni.chanzo itv habari
Picha tafadhali
 
Watu mna roho mbaya hata tupicha niweke kwenye Avatar?.
 
Safi sana.Mungu hadhihakiwi.wao wanafanya majaribio kwa wananchi km vile ni miungu kwa wanyonge,Leo Mungu kawaumbua.safiiiiiiii,na bado hiyo migari itapinduka na kuwakata vichwa na miguu,ndo watamheshimu Mungu na watu walioumbwa km wao.endeleeni,tu mtafika mnakokutaka bado kidogo tu.
Alaanie mabaya hayatoki kwake
 
Back
Top Bottom