Washauri wa Rais, naombeni mshaurini Rais anyamaze mpaka janga la COVID19 lipite

Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so please Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.

Najua Rais ni taasisi kama mnamshauri anakataa bora mjiuzulu hamna kazi mnayofanya hebu angalieni effect za speech zake kwenye vyombo vya habari ya kimataifa kama BBC, VOA etc. na madhara ya speech zake kule WHO.

Atulie tu kwani anakosa nini kule Chato anyamaze janga la Corona litapita then tutarejea kwenye maisha ya kawaida kunyamaza kimya ni bora kuliko kuongea mambo yanayoacha maswali mengi zaidi ya majibu.

Rais kauli zake zina nguvu sana ndio maana unaona zinafuatiliwa sio tu Tanzania zaidi nje ya nchi clip zake zinazunguka zikiwa zimefanyiwa tafsiri ya lugha mbali mbali.
Mfano wa sample ya papai kuwa na corona si hoja ya kujiuliza ni ujinga si ndio?
Ukitaka kujua issue ya corona mfuatilie mtu mmoja anaitwa Antony Fauci huko USA halafu utajua , anasema nini sasa 2020 na alisema nini 2017 huyu ni Dr bingwa wa maginjwa ya mlipuko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so please Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.

Najua Rais ni taasisi kama mnamshauri anakataa bora mjiuzulu hamna kazi mnayofanya hebu angalieni effect za speech zake kwenye vyombo vya habari ya kimataifa kama BBC, VOA etc. na madhara ya speech zake kule WHO.

Atulie tu kwani anakosa nini kule Chato anyamaze janga la Corona litapita then tutarejea kwenye maisha ya kawaida kunyamaza kimya ni bora kuliko kuongea mambo yanayoacha maswali mengi zaidi ya majibu.

Rais kauli zake zina nguvu sana ndio maana unaona zinafuatiliwa sio tu Tanzania zaidi nje ya nchi clip zake zinazunguka zikiwa zimefanyiwa tafsiri ya lugha mbali mbali.
Kwa hiyo kuwaambia ukweli kuwa wanaripoti uongo juu ya Tanzania wakati huko kwao wamezidiwa amefanya kosa?
 
Watu wameshamsoma, amepeleka mapai na wanajua anataka kusikia negative, wamempa majibu ya negative!
Hata Mimi ningekuwa mshauri wake nisingemshauri anyamaze. Atanifukuza. Ntamwacha ajinyonge mwenyewe huku Mimi nachungulia dirishani!
 
Kwani ukiongea bila matusi unahisi hutasikilizwa? Malezi mabaya ya wazazi wako hayo!

Kuna kitu umemisi nahisi, ingekuwa mtafiti huru opinion zatu huwa hazimkeli mwenye akili zake ila mwehu!
Nina malezi mazuri ndio ninajua cha kuandika kama ni kweli au sio kweli.
Siku hizi kumwambia mtu ukweli ndio matusi?,
Mleta mada ni mjinga pia ni pumbavu sababu ameandika kitu ambacho hakijui.
Huo ndio ujinga na pumba tu
 
Kwa hiyo kuwaambia ukweli kuwa wanaripoti uongo juu ya Tanzania wakati huko kwao wamezidiwa amefanya kosa?
Upo sahihi kabisa ndugu,
kila mtu sasa anataka kua mhariri wa hotuba za Rais, hotuba isipokua na maneno anayotarajia basi huyo mtu anasema Rais hafai au kakosea sana.

Hatuwezi kuwa na taifa la kijinga na kipumbavu namna hiyo kama mleta mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so please Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.

Najua Rais ni taasisi kama mnamshauri anakataa bora mjiuzulu hamna kazi mnayofanya hebu angalieni effect za speech zake kwenye vyombo vya habari ya kimataifa kama BBC, VOA etc. na madhara ya speech zake kule WHO.

Atulie tu kwani anakosa nini kule Chato anyamaze janga la Corona litapita then tutarejea kwenye maisha ya kawaida kunyamaza kimya ni bora kuliko kuongea mambo yanayoacha maswali mengi zaidi ya majibu.

Rais kauli zake zina nguvu sana ndio maana unaona zinafuatiliwa sio tu Tanzania zaidi nje ya nchi clip zake zinazunguka zikiwa zimefanyiwa tafsiri ya lugha mbali mbali.
Speech yake ya leo baada ya kubandikwa tu na Pascal kwenye uzi wake,nikaipokea toka USA kwa WhatsApp,anyway madhara ya speech zake mkuu hayapo WHO tu bali hata hapa home.watu tutakufa sana kwa kuendelea kumuamini
 
Jamani tuwe waelewa alikuwa anatania tu hakuwa siriaz kwa sababu ingekuwa yuko siriaz asingejikarantini. Muwe waelewa na mjikarantini kwa wale wanaoweza, wasioweza tuchape kazi mwanzo mwisho likitukumba ni ajali kazini, am I right?
I second you point
 
Back
Top Bottom