chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,212
Kuna baadhi ya wasanii Kule INSTA wamepunguza kupost habari zao sijui wana mawazo gani.
Tulishazoea kila muda kuona matangazo yao Mara napiga shoo CANADA Mara tarehe flani nitakuwa GERMANY Mara kapost kalala juu ya dollars!!
Naona ghafla wamekua kimyaaaaaa!!! Kwa siku ana POST Mara moja eti anakunywa CHAI YA RANGI na ANDAZI moja! Kisha anaandika "na maintain mie"