Wasanii wavaa vibaya kukiona

Wasanii wavaa vibaya kukiona

Gomesa

Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
23
Reaction score
1
Kuna kipindi nilidhani kwamba hakuna chombo chochote cha kuweza kusimamia maadili ya filamu nchini. Hususani kuanzia katika uigizaji na hata jinsi wanavyofanya majukwaani.Lakini nimeweza kugundua kumbe Serikali ilishatoa kazi kwa watu kusimamia ambao wao wanamamlaka ya kuweza kumsimamisha msanii. Hivi ni kwelie kwaadili haya tutafika kweli kwenye tasnia hii. soma kwenye ( GOMESA ) harafu tujadili.
 
Back
Top Bottom