Picha zilizonivutia mimi hii leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha zilizonivutia mimi hii leo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 25, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="606">SHINDA GARI’ YAZIDI KUWATEKA WASOMAJI WAKE

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">Zikiwa zimebakia takribani wiki mbili kabla ya kupatikana mshindi wa shindano la “Shinda
  Gari” Vitz 2010, linaloendeshwa na kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Limited, wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Risasi Ijumaa, Championi na Ijumaa Wikienda, wasomaji wake wameongeza kasi ya kununua magazeti hayo sehemu mbalimbali nchini ambapo jana gari hilo lilikuwa likinadiwa kwa wananchi katika mitaa ya jijini Dar es Salaam.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Baadhi ya wasomaji wa magazeti hayo wakionekana juu ya mti na wengine chini wakifuatilia kwa makini baadhi ya shoo zilizokuwa zikitolewa jirani na stendi ya mabasi ya mikoani, Ubungo, jana katika harakati za kulinadi ‘Vitz 2010’.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mmoja wa wasanii kutoka Global Publishers, Amir Shaib (Jembe New Foundation) akiwaburudisha baadhi ya wapenzi wa magazeti hayo waliohudhuria kwenye shoo hizo maeneo ya Mwenge stendi ya mabasi.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Anayejaza kuponi ni mmoja kati ya wasomaji wa magazeti hayo akiwania nafasi ya kujishindia gari.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Leila Said, msanii kutoka Global Publishers, hakuwa nyuma kutoa burudani kali katika sakata hilo la kuinadi Vitz.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Amir Shaib akiwa amezungukwa na wadau wa magazeti ya Global Publishers eneo la jirani na stendi ya mabasi yaendayo mikoani ya Ubungo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mmoja wa wasomaji wa magazeti ya Global (kulia) akielekezwa jinsi ya kujaza kuponi na ‘MC Chaku’ ndani ya ‘Mahakama ya Ndizi’ Mabibo jijini Dar es Salaam.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Hamisi Hassan, mmoja wa wacheza shoo wa Global akiwaburudisha baadhi ya wasomaji waliojitokeza kushuhudia ‘sakata’ hilo ndani ya ’Mahakama ya Ndizi’ Mabibo jana.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Pichani ni gari na wasani wote kwa ujumla waliokuwa wakitoa burudani katika promosheni hiyo maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam.


  </td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="61%">

  </td> <td class="news1" align="right" width="39%">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="2" align="left" bgcolor="#dba67c">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table> <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

  </td> <td width="606"> SIKU ZE KOMEDI ILIPOWAKILISHWA NA MPOKI!

  </td> <td align="right" width="139">
  </td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mpoki akipata 'menu' Kunduchi Beach hotel kistaili, huku kushoto kwake mtangazaji wa Planet Bongo, Bob Dulla akiwa 'hana mbavu' na vituko vyake!

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mpoki nae akichangia mada kwenye Academy hiyo, lakini kwa kuchekesha pia!

  Machi 20 na 21, wadau wa muziki walijichimbia Kunduchi Beach Hotel kwenye Academy maalum ili kufanyakazi nzito ya kitaifa ya kuhakiki wasanii na kazi zao ili wapewe tunzo za kili music 2010. Lakini walipata nafasi pia ya kujiliwaza kwa burudani mbalimbali ikiwemo ya vichekesho kutoka kwa Mpoki, ambaye ni memba wa kundi mahiri nchini Tanzania la Ze Komedy. Na hivi ndivyo ilivyokuwa, jionee mwenyewe kipande hiki cha video:

  <object height="364" width="445">


  <embed src="http://www.youtube.com/v/2pdD_PmQ5Qc&hl=en_US&fs=1&rel=0&color1=0x5d1719&color2=0xcd311b&border=1" type="application/x-shockwave-flash" allowscriptaccess="always" allowfullscreen="true" height="364" width="445"></object>​  </td></tr></tbody></table>​
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="606"> MR BEEN!

  </td> <td align="right" width="139">
  </td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  teh teh teh!!!​

  </td></tr></tbody></table>
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Ahahahahahahaaaaaaaah! Du
   
Loading...