Kibaka anapochomwa moto - VIDEO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibaka anapochomwa moto - VIDEO

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lucchese DeCavalcante, Mar 24, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  HII NOMA SANA BABAKE....

  <EMBED height=385 type=application/x-shockwave-flash width=425 src=http://www.youtube.com/v/0J8SlKMecUc&rel= border="1&color1=" color2="0xfebd01&hl=" feature="player_embedded&fs=" allowfullscreen="true" allowscriptaccess="always"></EMBED>
  Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Ali Kumbenda (pichani), ameuawa kinyama na watu wenye hasira kali mbele ya polisi kwa tuhuma za kutaka kupora pikipiki waliyokuwa wameikodi kutoka Mkuranga kuelekea Chanika, Wilaya ya Ilala jijini Dar esa Salaam.
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Aliye record anatupa picha gani au ataka tuambia nini?
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,983
  Likes Received: 690
  Trophy Points: 280
  Duh!!
  kama hajaiba wala hausiki inakuaje sasa?
   
 4. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180

  Hivi Brigita hiyo avatar yako mbona hivyo? Yaani matumizi ya ndizi badala ya naniii?!!!
   
 5. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,501
  Likes Received: 1,082
  Trophy Points: 280
  Wange mchoma mheshimiwa nahii...... namna hii ingekuwa safi sana kwani yeye ana madhara kuliko kibaka huyo mara Trilion!!
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mwizi mwone akiwa kachomwa tu...kumtizama anapochomwa haifai!
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  dhambi mbaya kuua mtu!
   
 8. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nimeshindwa kutizama yote!inatisha!dunia imejaa ukatili,huyu anamwibia mwenzie bila huruma,huyu anambanika mwenzie bila huruma!ni ukatili tu yaani usiosemeka!
  lord have mercy!
   
 9. Jacbest

  Jacbest Member

  #9
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du! Polisi hawezi kumwokoa kibaka au naye alishiriki?
   
 10. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  damu yake itawalilia. pikipiki tu haina thamani kuliko roho ya mtu. kuua ni dhambi na damu itawalilia. kwa habari ya police aliyekuwa anashuhudia, kwakweli hafai katika kazi hiyo. mtu kama ameiba anatakiwa aletwe mbele ya sheria, sheria ichukue mkondo wake. kama wale wanaoiba pesa za selikali, wale polisi wanaoiba pesa kwa rushwa, wale mafisadi wa tz yaani mapapa na manyangumi, wangekuwa wanachomwa moto, nani angebaki? NA WALE WANAOMWIBIA MUNGU MAFUNGU YA KUMI NA SADAKA AMBAZO AMEAMURU TUMPLE KWENYE BIBLE, wangekuwa wanachomwa moto na kufanyiwa ukatili hivyo nani angebaki? kwa kifupi, ukatili wa aina hii tz umepitwa na wakati, roho ya mtu huyo ambayo wameuwa ilitakiwa iokoke kwanza ndo afe labda angeenda mbinguni, hajaokoka hivyo na wamemuua, anaenda jehanam moja kwa moja, waliosababisha wako hapo duniani, ni hasara kubwa sana mbele za Mungu kwasababu Mungu hafurahii kabisa kifo cha mtu mwenye dhambi. UKATILI KAMA UU TZ LAZIMA UTEKETEZWE.
   
Loading...