Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Tanzania kweli tunaleta utani kwenye vitu vya msingi,hivi shilole awe mbunge kweliiiii!!!!hahaahaaa🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀...ndo maana rasilimali nyingi tunazo,lakini hatuna maendeleo miaka 50
Kama anajua kusoma na kuandika, tatizo lipo wapi ?Shilole anadhani ubunge ni shishi food!
Hawa wasanii wameshajua bungeni kuna hela za bure.hao ndio tunaoenda kuwategemea kutuchambulia na kutunga sera za kuiendesha nchi. Bado tuna safari ndefu1.HARMONIZE
Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM
2.SHILOLE
Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM
3.STEVE NYERERE
Steven Mengele ‘Steve Nyerere - Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CCM
4.KINGWENDU
Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu, - Pwani Kisarawe kwa Tiketi Ya CUF
View attachment 1487773
Huna tofauti na Steve Nyerere.Wana tofauti gani? Labda utofauti kina sugu wamechagua Sacco's na kina nyerere wamechagua chama tawala
Huna tofauti na halima mdeeHuna tofauti na Steve Nyerere.

Halima Mdee yupo vizuri kichwani. Ndio maana 2015 nilimpigia kura na 2020 nitamchagua tena akiamua kugombeaHuna tofauti na halima mdee![]()
Dudu baya anagombea sengeremaKalapina jimbo la kinondoni CCM
WOIIII ATUITAJII VITUKOBUNGEN1.HARMONIZE
Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM
2.SHILOLE
Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM
3.STEVE NYERERE
Steven Mengele ‘Steve Nyerere - Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CCM
4.KINGWENDU
Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu, - Pwani Kisarawe kwa Tiketi Ya CUF
View attachment 1487773
Tena huyu polepole,bora ingekua awamu iliyopita!Hawapiti kwenye kura za maoni hao
KUNA NGO NYUMAYAOO NN INATOAHELAA ZA KAMPENI KAH1.HARMONIZE
Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM
2.SHILOLE
Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM
3.STEVE NYERERE
Steven Mengele ‘Steve Nyerere - Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CCM
4.KINGWENDU
Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu, - Pwani Kisarawe kwa Tiketi Ya CUF
View attachment 1487773
Lini? Na nani,polepole huyuhuyu? Ngumu kumezaHarmonize ameshapitishwa
Kupitia chama gan??Master J Rombo
Mwana fa ni muheza hawez kupambna na ummyTanga Mjini,CCM
Harmonize akishinda.
Tujiandae kuona akiingia bungeni kifua wazi

labda sabufa ikiwa ni ile ya dhathilam iz thefu