usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,901
- 13,870
Anadai anaviatu pea 300 n uchafuTid anayeishi kwao hadi leo
Anadai anaviatu pea 300 n uchafuTid anayeishi kwao hadi leo
Hiv huyu mh Bado hakuna kidume alietangaza ndoa paleHata muheshimiwa Jokate nasikia bado anakaa kwao
Inawezekana ni maamuzi sio kama hana uwezo wa kutoka nyumbani
Kabaiser ni nan?NGWEA, KABAISER,
Mh professor jaynitajie msanii mwenye uhakika wa milo minne na geto la maana tofauti na diamond and kiba
Jux huyu chakula cha sponsor c anaish kwaoKomando Jide, Navy Kenzo, Jux
Mr blueKabaiser ni nan?
Huyo ni wa kike sio mbaya sana, nadhani kwa sasa yuko kwenye government quarters!
Top 5 ya Worst losers wa bongo fleva ni
1.Q-Chillah
2.Mr.Nice
3.Ray C
4.TID
5. Chid Benz
Juma nature na sinta.Wagosi wakaya
Juma nature
Mr Nice
Afande Sele
Ray C
Joslin
Z Anto
Ferooz
Jmo
N.k
Kuna wazazi huwa hawakubali mtoto wa kike atoke nyumbani na kuenda kuishi kivyake kama hajaolewa regardless ana uwezo kiasi gani labda tu awe anafanya kazi mbali na makazi ya wazazi wake, so usimfananishe TID na Jokate.Hata muheshimiwa Jokate nasikia bado anakaa kwao
Inawezekana ni maamuzi sio kama hana uwezo wa kutoka nyumbani
Nshakushtukia we ni TID nshajua nshajua!Hata muheshimiwa Jokate nasikia bado anakaa kwao
Inawezekana ni maamuzi sio kama hana uwezo wa kutoka nyumbani
Nshakushtukia we ni TID nshajua nshajua!
Top in dar mnyama aka chumvin hahaha ubuyu ni kipimbi sana aseeYeah man
Mie ndo TID mnyamaaaaaa
Top in town a.k.a radar man 😁😁Top in dar mnyama aka chumvin hahaha ubuyu ni kipimbi sana asee