Wasanii waliovuma lakini wakashindwa kutengeneza pesa


Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Messages
6,210
Points
2,000
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2014
6,210 2,000
Joh makin uwezo wa kawaida anao huwez linganisha na Huyo lord eyez japo kwa tetesi inasemekan yy na mdogo wake nick wa pili hawapend kuweka Mali zao public
Wangekuwa na hela wasingemkimbia Nah Real baada ya kuwaambia ataanza kuwarekodia nyimbo kwa million 3..
 
Luno G

Luno G

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Messages
2,259
Points
2,000
Luno G

Luno G

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2012
2,259 2,000
Wote uliowataja pesa walifengeneza vibaya sema hawakufanikiwa kuiendeleza pesa waliyoipata na kuiweka katika uwekezaji
 
Born 2 Be Wild

Born 2 Be Wild

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
1,058
Points
2,000
Age
27
Born 2 Be Wild

Born 2 Be Wild

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
1,058 2,000
Yaani unakuwa staa halafu unabaki huna kitu, ni sawa na kuwa na upara halafu bei ya Kunyolewa ni 100000.
 
Baba wa Mapaka

Baba wa Mapaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
1,060
Points
2,000
Age
48
Baba wa Mapaka

Baba wa Mapaka

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
1,060 2,000
Hata muheshimiwa Jokate nasikia bado anakaa kwao

Inawezekana ni maamuzi sio kama hana uwezo wa kutoka nyumbani
Ilibidi nitazame tena hii post nj ya lini?
 
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Messages
1,580
Points
2,000
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2014
1,580 2,000
Top 5 ya Worst losers wa bongo fleva ni
1.Q-Chillah
2.Mr.Nice
3.Ray C
4.TID
5. Chid Benz
Q-chillah na TID na skendo yao ya kurogana sijui iliishia wapi na kundi lao la nyimbo moja Top band, ila Chillah yupo vizuri, ana sauti ya kuimbia sijui alikwama wapi
 
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Messages
3,568
Points
2,000
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2018
3,568 2,000
MAN FONGO, kwa kweli alichezea bahati sana.
 
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Messages
3,568
Points
2,000
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2018
3,568 2,000
Hata Q- chillah na yeye hana alichokipata zaidi ya sifa!!
 
babumapunda

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
4,201
Points
2,000
babumapunda

babumapunda

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
4,201 2,000
MB doggy unamuacha wapi
 
THAN0S

THAN0S

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2019
Messages
481
Points
500
THAN0S

THAN0S

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2019
481 500
Mimi naweza sema zamani wengi wao walikuwa wanaimba mziki ili apate jina kitaani.. mtu anaona fahari akisikika kwenye radio na wengi wao hakuweka pesa mbele zaidi ya jina
Hizo pesa za kihiivyo zilikuepo sasa enzi hizo, wasanii wengi wamenyonywa sana hela waliyopata ni ndogo kulinganisha na kazi walizofanya
Wasanii wengi waliofanikiwa Ukiacha wakina diamond waliofanikiwa kupitia biashara zaidi..
Tatizo sio kila mtu ana akili, ari au nyota ya biashara... Huu ukweli watu wasiopenda kukubali
Sasa kama mtu biashara hawez na mziki toka ameanza kufanya faida yake haijwahi kufika ata milioni 20, 30 u nategemea awe na hela ya kutokana na mziki baada ya miaka zaidi 10 toka alipotoa hizo hitsongs zake nne..
 
THAN0S

THAN0S

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2019
Messages
481
Points
500
THAN0S

THAN0S

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2019
481 500
Hata wa kiume sioni tatizo, kwa nini akakae sehemu nyingine kama kwao kupo na nyumba iko tupu
Hii nayo ni thread ya ku discuss. Hivi mbona baadhi ya wazungu,mostly waarabu, wahindi watoto wao wa kiume wana kaa kwao paka watakapo jiweza kuondoka au watakapo amua kuondoka
Wengine wanaoa na kukaa kwao, hii haraka ya mtoto wa kiume aondoke nyumbani ni umaskini wetu waafrika ama ni nini?
Au ni haraka zetu kama jamii ya waafrika za kutaka kuoa mapema??
 

Forum statistics

Threads 1,295,655
Members 498,337
Posts 31,218,562
Top