Wasanii waliovuma lakini wakashindwa kutengeneza pesa

Wote uliowataja pesa walifengeneza vibaya sema hawakufanikiwa kuiendeleza pesa waliyoipata na kuiweka katika uwekezaji
 
Yaani unakuwa staa halafu unabaki huna kitu, ni sawa na kuwa na upara halafu bei ya Kunyolewa ni 100000.
 
Top 5 ya Worst losers wa bongo fleva ni
1.Q-Chillah
2.Mr.Nice
3.Ray C
4.TID
5. Chid Benz
Q-chillah na TID na skendo yao ya kurogana sijui iliishia wapi na kundi lao la nyimbo moja Top band, ila Chillah yupo vizuri, ana sauti ya kuimbia sijui alikwama wapi
 
Mimi naweza sema zamani wengi wao walikuwa wanaimba mziki ili apate jina kitaani.. mtu anaona fahari akisikika kwenye radio na wengi wao hakuweka pesa mbele zaidi ya jina
Hizo pesa za kihiivyo zilikuepo sasa enzi hizo, wasanii wengi wamenyonywa sana hela waliyopata ni ndogo kulinganisha na kazi walizofanya
Wasanii wengi waliofanikiwa Ukiacha wakina diamond waliofanikiwa kupitia biashara zaidi..
Tatizo sio kila mtu ana akili, ari au nyota ya biashara... Huu ukweli watu wasiopenda kukubali
Sasa kama mtu biashara hawez na mziki toka ameanza kufanya faida yake haijwahi kufika ata milioni 20, 30 u nategemea awe na hela ya kutokana na mziki baada ya miaka zaidi 10 toka alipotoa hizo hitsongs zake nne..
 
Hata wa kiume sioni tatizo, kwa nini akakae sehemu nyingine kama kwao kupo na nyumba iko tupu
Hii nayo ni thread ya ku discuss. Hivi mbona baadhi ya wazungu,mostly waarabu, wahindi watoto wao wa kiume wana kaa kwao paka watakapo jiweza kuondoka au watakapo amua kuondoka
Wengine wanaoa na kukaa kwao, hii haraka ya mtoto wa kiume aondoke nyumbani ni umaskini wetu waafrika ama ni nini?
Au ni haraka zetu kama jamii ya waafrika za kutaka kuoa mapema??
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom