Wasanii wa Uingereza waleta uhai kwa vifaa barabarani

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,010
1,036
Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao wamechora picha ya ndege, katuni na mandhari kwa rangi inayong’ara kwenye madawati, vyungu vya miche na makabati ya vifaa vya umeme barabarani.




 
Hawa watu inaonekana daima watakuwa mbele yetu.....hata hawatumii nguvu nyingi sana lakini mambo yao, yawe ya kiurembo, kiuchumi, kisanaa au vyovyote vile lazima yaende zaidi yetu. Sijui kwa nini?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…