cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,855
- 75,965
Baadhi ya wasanii walioshiriki kwenye kampeni ya CCM kwa jina lililotamba 2015 la "Mama ongea na Mwanao" ktk Uchaguzi Mkuu wamekanusha taarifa kuwa hawakulipwa na CCM.
Wakiongea na waandishi wa habari mchana wa leo, wasanii hao wakiongozwa na Yobnesh Yusuf (Batuli) wameeleza kuwa Msanii mwenzao waliyeshiriki naye kwenye kampeni hiyo, Wema Sepetu (aliyehamia CHADEMA hivi karibuni) aliongopa kusema kuwa CCM haikuwalipa.
Aidha, wameongeza kuwa, achilia mbali wasanii, hata waliowasaidia kubeba mizigo pia walilipwa.
Pia wanashangaa inakuwaje yeye Wema Sepetu awalipe wenzake wote na yeye asipate malipo wakati yeye ndiye alipewa pesa kulipa waliotakiwa kulipwa.
Zaidi yaja... Video hii