Elections 2010 Wasanii Nyota wa Bongo Flava wachangia CCM

Nyie mnaodai eti hao mamluki wana haki ya kufanya hivyo simply becoz Nakaaya's supporting chadema mko wrong na mnafananisha kifo na usingizi...Nakaya ana sababu nzuri ya kufanya hivyo tofauti na hao wasanii wengine ambao wamekubali kuuza uhuru wao na kuwa watumwa wa kifikra,mara nyingi wasanii huwakilisha jamii,most of the times vilio vya wananchi dhidi ya utawala mbovu,umasikini nk,lakini hii mipu, mbavu ni mibinafsi sana kwa kutaka tuendelee kuwa masikini kwasababu ya utumwa wao wa kifikra,huwezi kusema una uhuru wa kifikra kama una act cowardly like this.

Kwa upande mwingine,walitakiwa watumie akili na kufight bega kwa bega na wananchi waliochoshwa na mafisadi ili tuweze kujikwamua kiuchumi kwasababu tukipata maendeleo wao ndio watakuwa na pesa zaidi ya wanasiasa na hivyo kuwa mawazo huru,kwa mfano marekani, mwanasiasa tajiri kuliko wote ni John Kerry,ambaye hata hivyo most of it comes from the wife,billionaire tomato ketch up heiress,so John Kerrry yeye ana worthnaround $143 to 147 milllions kama sikosei,na wakati Puff Daddy yeye ni over$500, wakina Britney Spears,Chistina Aguilera wenyewe wana worth more than number one richest politicians, na Jay mayb billionaire.

Sasa huko kwetu ni kinyume,wanasiasa ndo matajiri, sasa kama wasanii wakiwa wajinga, wavivu wa kufikiri na wenye utumwa wa kifikra, msitegemee lolote kutoka kwao, kama ni kweli wanalipenda Taifa na vizazi vijavyo, basi walitakiwa wawe mstari wa mbele kupingana na dhulma dhid ya wananchi.

Ukiwauliza wanaweza kuwa na sababu nyingi tu, mfano ni Dr Remmy ambaye baada ya kutunga ule wimbo wa Mrema na kuwepo kwenye majukwaa kusapoti upinzani, mara ghafla wakaanza kudai eti si raia, kwa hawa wa bongoflava, ccm ni kama sumu,miziki yao haitapigwa.

Mapinduzi ndio the only solution, hata hao vijana tutawaweka kwenye msitari, pambaf sana.
 
Gomea kununua kazi zao na pia goma kwenda kwenye matamasha yao tuone mwisho wao! on the other hand, wanauhuru wa kujiunga na chama chochote na kukitangaza!!
 
jMushi1,
Mkuu unasahau kwamba hii ni nchi ya Ubinafsi, kila mmoja wetu anabeba msalaba wake. JK amewaahidi wasanii kuweka sheria ya kuthibiti nakala feki za muziki wao ili kuwazidishia kipato chao.

Ni sehemu pekee ambayo nimeona JK akiiwekea umuhimu zaidi hivyo hata kama mimi ningekuwa msanii ktk nchi ya Ubinafsi nimgempigia debe ili sheria hiyo ipite.

Wasanii Bongo wanapeta mkuu wangu, kumbuka tu maskini akipata ****** hulia...ndio kilema cha mtu mweusi..
 
1. Mimi nawashangaa wanaowashangaa hawa "wasanii" ambao ukiwaangalia kiundani ni hustlers, pimps and hoes

2. As much as I don't like CCM, I would rather see these people express their political affiliations openly than do some backhanded deals

3.Hatuwezi kuwapangia wenzetu political affiliations, kama ambavyo wao hawawezi kutupangia sisi, kama unaona mtu ni sellout boycott muziki wake. Fundamentally hakuna mwenye monopoly na political views za mwenzake.

I understand the context of lyrics to songs like "Ndiyo Mzee" and it's ironic implication, but maybe that is the subtext that should be taken in context here. Kwamba hawa wasanii wanasema "Ndiyo Mzee" tu.

Bob alisema

"Every man has a right to decide his, own destiny" ni vizuri wamesimama ili wahesabiwe na CCM, kesho keshokutwa rekodi itaonyesha katika vuguvugu la mabadiliko walikuwa wapi. This is the typical complacency of Bongofleva, not the versatile angry anti-establishment style of hip hop, don't confuse the two.

Wewe ulifikiri Kikwete alivyowaalika Ikulu na kuwapa photo op alikuwa anapalilia nini?
 
Nampa hongera sana msanii aliyejiunga na chama pinzani ameonyesha mfano chanya,vijana wengi wanaona wakijikumbatia na CCM ndio watafanikiwa kwani watapata nafasi na wata hiba kama walivyofanya wakina ENL, RA,Yona na BM bila kufikiria kwamba uho wizi wanaoufanya CCM kwenye rasilimali za Taifa utafikia mwisho wake tu na wote wataumbuka utafikiri mtu aliyefumaniwa na mke/mume wa mtu.

Nilikuwa na mpenda sana professa J wakati akipigania hati miliki ya sanaa Tanzania lakini kwa sasa namuona kama Tahaira kwani hao watu wanaowanyima vijana hati miliki za kazi zao yeye ndio anaenda kuwa pigia debe ili washinde tena 2010 nchi yetu hizidi kunyonywa.

Walaniwe wote wanao hipigia debe CCM ili hiendele kunyonya rasilimali zetu.
 
Kiranga,hakuna anayebisha kuwa wana haki hizo ulizozisema, hata hivyo je wameshaonyesha kukerwa na hali halisi inavyozidi kuwa mbaya?

Bob Mkandara what you just saidi is true, kwamba wao wanajali maslahi yao na hivyo kuamuwa kumsapoti JK aliyewaahidi kuzifanyia marekebisho,na hivyo basi wao ni masuper stars wenye agenda zao binafsi na wasioiwakilisha jamii kwa ujumla?

Maisha bora kwa kila msanii....Teh teh teh.
 
Sitaki kuingilia uhuru wa mtu kuwa affiliated na political party yoyote ile.

Kati ya wasanii wote hapo,Prof.Jay ameniudhi sana.kuanzia leo nagoma kununua mziki wake.Huu ni unafiki mtupu,amekua akiimba tungo zenye maana,lakini kumbe nae ni walewale tu.Akina dully sykes siwashangaai coz hawajui kitu
 
Kiranga said:
Bob alisema

"Every man has a right to decide his, own destiny" ni vizuri wamesimama ili wahesabiwe na CCM, kesho keshokutwa rekodi itaonyesha katika vuguvugu la mabadiliko walikuwa wapi. This is the typical complacency of Bongofleva, not the versatile angry anti-establishment style of hip hop, don't confuse the two.

Wewe ulifikiri Kikwete alivyowaalika Ikulu na kuwapa photo op alikuwa anapalilia nini?
Kiranga unaweza ukawa umem quote Bob vibaya,haimake sense,sidhani kama wamechagua destiny,rather destiny chose them.
 
Ni hiyari yao kuchangia au kutokuchangia, full stop. Ingekua wanachangia CHADEMA, ungekaa kimya? Kwa lipi bora zaidi ya CCM? Ukiondoa Dr Slaa na Zitto sio chama thabiti (bado!)
 
Kiranga,hakuna anayebisha kuwa wana haki hizo ulizozisema,hata hivyo je wameshaonyesha kukerwa na hali halisi inavyozidi kuwa mbaya?
Bob Mkandara what you just saidi is true,kwamba wao wanajali maslahi yao na hivyo kuamuwa kumsapoti JK aliyewaahidi kuzifanyia marekebisho,na hivyo basi wao ni masuper stars wenye agenda zao binafsi na wasioiwakilisha jamii kwa ujumla?
Maisha bora kwa kila msanii....Teh teh teh.

Unajuaje kama katika kukerwa kwao, wameona the best solution ni CCM? Kwa nini unafikiri ni lazima kila mtu ashabikie upinzani?

Mimi hii ndiyo beef yangu na watu wanaowashangaa hawa "wasanii", ni kama tulikuwa na mkataba nao kwamba watashabikia upinzani tu na sasa wameuvunja mkataba huu.Mimi siujui mkataba huu.Mimi nina uphold individuality, na hata kama mimi siipendi CCM, pia sipendi ushabiki wa groupthink unaofikiri kwamba kila msanii wa bongoflava automatically atakuwa against CCM. This thinking is wrong.

Hawa watu wana haki ya ku exercise civil rights zao. Unapouliza "wameshaonyesha kukerwa?" unasahau kwamba kukerwa kwao si lazima kuwe sawa na kukerwa kwako (hapa tena lazima tuondoe groupthink na tuweke individuality). Mkuu Bob kaweka vizuri sana kero kubwa ya wasanii kuhusu hakimiliki, na ka speculate very reasonably kwamba inaweza kabisa kuwa ndiyo selling point ya Kikwete, sasa huoni kwamba kwa kutoka vantage point yao Kikwete anaweza ku address kero yao?

Tusitake kuleta groupthink za kusema watu wa Bongofleva wote lazima wafikiri sawa, au vijana wote lazima wawe na sympathy kwa upinzani.

Upinzani wenyewe umefanya nini ku address kero zao?

I loathe CCM, but I loathe groupthink even more
 
Wil.I.am alipo m-endorse Obama hamkulalama nyinyi wanywa kool-aid wa Obama?

Usifananishe kifo na usingizi "Ngedere?"
Wil.I.am ana pesa kuliko Obama,wana endorse base on free mind na si kwa kuogopa ama njaa,serikali ama nyimbo zao kutopigwa clouds,upo?

Ni muhimu kutofautisha hivyo viwili,kwani hujaona nyuma posting nimeweka wazi kuwa artists US ni matajiri kuliko politicians?
Tumia ubongo wa binadamu sometimes.....Kool aid aint shit.
 
Sitaki kuingilia uhuru wa mtu kuwa affiliated na political party yoyote ile.

Kati ya wasanii wote hapo,Prof.Jay ameniudhi sana.kuanzia leo nagoma kununua mziki wake.Huu ni unafiki mtupu,amekua akiimba tungo zenye maana,lakini kumbe nae ni walewale tu.Akina dully sykes siwashangaai coz hawajui kitu

Haya sasa ndiyo maneno niliyotegemea, kama mtu kakuudhi boycott his/her music, hamna kwenda concert yake, hamna kununua muziki wake, ukisikia wimbo wake unapigwa redioni badili station, hata kama kwenye daladala muombe dereva abadili etc etc.
 
Kwa kifupi hivyo vyama mbadala vikwapi ?? Tuuze sera zetu na si kutegemea kila mtu kufata. HAYO NI MAPUNGUFU YAO AU YETU SISI KAMA JAMII?
 
Unajuaje kama katika kukerwa kwao, wameona the best solution ni CCM? Kwa nini unafikiri ni lazima kila mtu ashabikie upinzani?

Mimi hii ndiyo beef yangu na watu wanaowashangaa hawa "wasanii", ni kama tulikuwa na mkataba nao kwamba watashabikia upinzani tu na sasa wameuvunja mkataba huu.Mimi siujui mkataba huu.Mimi nina uphold individuality, na hata kama mimi siipendi CCM, pia sipendi ushabiki wa groupthink unaofikiri kwamba kila msanii wa bongoflava automatically atakuwa against CCM. This thinking is wrong.

Hawa watu wana haki ya ku exercise civil rights zao. Unapouliza "wameshaonyesha kukerwa?" unasahau kwamba kukerwa kwao si lazima kuwe sawa na kukerwa kwako (hapa tena lazima tuondoe groupthink na tuweke individuality). Mkuu Bob kaweka vizuri sana kero kubwa ya wasanii kuhusu hakimiliki, na ka speculate very reasonably kwamba inaweza kabisa kuwa ndiyo selling point ya Kikwete, sasa huoni kwamba kwa kutoka vantage point yao Kikwete anaweza ku address kero yao?

Tusitake kuleta groupthink za kusema watu wa Bongofleva wote lazima wafikiri sawa, au vijana wote lazima wawe na sympathy kwa upinzani.

Upinzani wenyewe umefanya nini ku address kero zao?

I loathe CCM, but I loathe groupthink even more

Una maana wameona kuwa the best solution dhidi ya mafisadi ni ccm? Naona ni kweli wana haki ya kuwawakilisha mafisadi,kazi kwa masikini wanaonunua miziki yao,hopefully hawatakuwa influenced na endorsements zao! Mwananchi masikini wa kawaida ni lazima apate mwakilishi,hawa wanawakilisha mafisadi.
 
Inawezekana wameona the best solution against mafisadi ni CCM.
Inawezekana hawaamini kwamba ufisadi ni tatizo
Inawezekana wanaamini kwamba kila mtu anatakiwa atumie opportunities zake regardless, na ufisadi ni sehemu ya capitalism tunayoingia

Ni matusi kuwaita hawa hustlers "wawakilishi", wamekuwa wawakilishi kwa msingi gani? Nani kawapa uwakilishi?

Hapo ndipo mnapokosea, mshawafanya hawa watoto wa mjini "wawkilishi" tayari, wawkilishi my foot.

Yaani watu wako delusioned humu, ni kama yule mfa maji ambaye akiona hata unywele unaelea anataka kuushika ili asizame.

Sasa hawa hustlers wa bongofleva ndio unywele huu unaoelea, hamkutakiwa kuweka matumaini yoyote katika unywele huu.Na kama mliweka matumaini poleni.
 
Mara nyingine tuwe wakweli, leo tunachagua CHADEMA kuendesha nchi, naomba mnawaona wenzenu wanaganga njaa, mtupe listi ya Raisi, Waziri mkuu, mawaziri, naibu mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, kata, tarafa nk kutika CHADEMA.

Nyinyi mnamkakati gani? ua na nyie mnaganga njaa? Ushauri, kujaribu kupata wawakilishi zaidi katika bunge..badala ya kupiga kelele yule kafany hivi... Nyie mmeshachangia CHADEMA?
 
Inawezekana wameona the best solution against mafisadi ni CCM.
Inawezekana hawaamini kwamba ufisadi ni tatizo
Inawezekana wanaamini kwamba kila mtu anatakiwa atumie opportunities zake regardless, na ufisadi ni sehemu ya capitalism tunayoingia

Ni matusi kuwaita hawa hustlers "wawakilishi", wamekuwa wawakilishi kwa msingi gani? Nani kawapa uwakilishi?

Hapo ndipo mnapokosea, mshawafanya hawa watoto wa mjini "wawkilishi" tayari, wawkilishi my foot.

Yaani watu wako delusioned humu, ni kama yule mfa maji ambaye akiona hata unywele unaelea anataka kuushika ili asizame.

Sasa hawa hustlers wa bongofleva ndio unywele huu unaoelea, hamkutakiwa kuweka matumaini yoyote katika unywele huu.Na kama mliweka matumaini poleni.
Wawakilishi wa wananchi kama mfano wa kuigwa,wao ni kioo cha jamii,sasa kama hiyo ndo reflection yenyewe,then we're doomed to fail. Wapenzi wa muziki wao siyo ccm peke yake,kwahivyo kama wangekuwa na busara, wangechangia kivyao na si kuwashurutisha washabiki ama wapenzi wa muziki wao wachangie ccm.

Wapenzi wa miziki yao sio ccm persee.
 
Back
Top Bottom