Elections 2010 Wasanii Nyota wa Bongo Flava wachangia CCM

Hawa nao waliimbwa na kusifiwa saaaana:

Orch. Veve huko Kampala wakimuimbia Idd Amini Dada

TPOK Jazz na Luambo wakimuimbia Mobutu wakati wa kampeni ya Urais?? Mhh, eti uchaguzi.

Madilu Multi system akimuimbia Edith Nguesso Bongo na Omary Bongo.
 
Last edited by a moderator:
Wawakilishi wa wananchi kama mfano wa kuigwa,wao ni kioo cha jamii,sasa kama hiyo ndo reflection yenyewe,then we're doomed to fail....Wapenzi wa muziki wao siyo ccm peke yake,kwahivyo kama wangekuwa na busara,wangechangia kivyao na si kuwashurutisha washabiki ama wapenzi wa muziki wao wachangie ccm.

That's where you are wrong, wawakilishi kwa mkataba gani? Nani kakwambia hawa virukanjia wanaoshika mic mkono mmoja huku mkono mwingine umeshika bia na vidole viwili vimekumbatia ndumu ni "mfano wa kuigwa"?

Unaposema
kama wangekuwa na busara,wangechangia kivyao na si kuwashurutisha washabiki ama wapenzi wa muziki wao wachangie ccm

Uko tayari kusema hivyo hivyo kwa wale wanaochangia/ ku endorse CHADEMA na vyama vingin vya upinzani?

Au una maintain double standards? Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu? Wasanii waki endorse CHADEMA sawa, wakiendorse CCM mamluki?

Sio lazima kila mtu akubaliane nawe, again every man has a right to decide his own destiny, mbona mnataka kuwachagulia wenzenu?

Acheni groupthink hizi.
 
Waacheni jamani........wanao uhuru wa kuchagua nini cha kufanya mradi tu hwavunji sheria....hatuna haja ya kuwazonga wala kuwalalamikia(Tanzania si ni nchi ya kidemokrasia bana?).....Pia wenzenu wako kibiashara zaidi
 
Kila raia ana haki na uhuru wa kujihusisha na chama chochote cha siasa kwani hiyo ni haki ya msingi kabisa kwa kila mwananchi lakini nimeshangazwa sana na baadhi ya hawa wasanii ambao tungo za nyimbo zao zimejaa vilio na mateso vinavyowakumba walalahoi wa tanzania, nyimbo zao zimejaa beti zenye kulalamikia ufisadi, rushwa, unyonyaji na dhuluma zinazoendeshwa na viongozi wa nchi ya Tanzania hasa kutoka CCM na leo wamevalishwa magwanda ya kijani kama sungusungu au mgambo ili kukiletea pesa Chama Cha MAFISADI, ni aibu sana.
 
Waacheni jamani........wanao uhuru wa kuchagua nini cha kufanya mradi tu hwavunji sheria....hatuna haja ya kuwazonga wala kuwalalamikia(Tanzania si ni nchi ya kidemokrasia bana?).....Pia wenzenu wako kibiashara zaidi

You nailed it son.

I thought this place was supposed to be more enlightened than this, at least to the extent of having already realized a while ago that Bongofleva cannot even dream of filling the leadership void, let alone actualizing it.

Kuna watu wanaweza kusema "As far as I am concerned, hawa watu wanatafuta gigs tu, na hii ya CCM ni gig nyingine tu ambayo CHADEMA wameshindwa ku bid sawa na CCM" Wengine wanaweza kusema kuna marefu zaidi ya short term greed, kwamba sera za CCM kuhusu wasanii ziko attractive zaidi. On both counts, unless mtu anionyeshe otherwise, CHADEMA hawajafanya homework yao. Mimi nimeona attempts (lame and scripted) za Kikwete kuwakumbatia wasanii wa bongofleva, sijaona attempts kama hizi kutoka upinzani.Hivi upinzani unafikiri movement ya Bongofleva ni yao by default? Without any effort?

Ningeelewa kama mngekuja na sera za upinzani zilizo bora zaidi ya za CCM as far as wasanii are concerned, halafu mkawasema hawa wasanii wana endorse kitu kilicho against their immediate self interest.

Lakini sasa hivi inaonekana wanafanya kila kitu in their self interest, wanacultivate connections na status quo na wanapalilia kufanikiwa kwa sera za CM kuhusu wasanii.

Tusiongee generalities tu "ufisadi this" "ufisadi that", let's get specific and discard this groupthink.

Kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo upinzani unavyozidi kutapatapa (and yes, I am anti-CCM, but the truth must be told).Tulianza kwa kuweka matumaini katika vyama vya upinzani, vimedisappoint.

Tukaenda kwenye press, largely ina disappoint.

Tukaenda kwenye vyama vya wafanyakazi, vime disappoint.

Naona sasa tuna lower the bar mpaka kwenye Bongofleva, halafu tunataka kushangaa kutokana na disappointment yao.

To me, the only disappointing thing here is that people had any hope in Bongofleva to begin with.
 
Kiranga said:
That's where you are wrong, wawakilishi kwa mkataba gani? Nani kakwambia hawa virukanjia wanaoshika mic mkono mmoja huku mkono mwingine umeshika bia na vidole viwili vimekumbatia ndumu ni "mfano wa kuigwa"?

Si kila uwakilishi una mkataba rasmi,kama unawa brand wasanii hao "viruka njia",then ccm inaamini kuwa virukanjia hao wana influence kwenye jamii na wanawatumia kuomba mchango(kutoka kwa wananchi viruka njia?),na zaidi ya hapo sitaki kuwa naive.

Unaposema

Uko tayari kusema hivyo hivyo kwa wale wanaochangia/ ku endorse CHADEMA na vyama vingin vya upinzani?

Au una maintain double standards? Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu? Wasanii waki endorse CHADEMA sawa, wakiendorse CCM mamluki?

Yes,niko tayari kusema hivyo kwa chama chochote,lakini kwasababu Taifa liko kwenye a "sense of urgency" lazima kutakuwa na wasio make sense at all.....Umamluki ni pale unaposhabikia chama cha mafisadi.....Siwachagulii destiny.

Sio lazima kila mtu akubaliane nawe, again every man has a right to decide his own destiny, mbona mnataka kuwachagulia wenzenu?

Acheni groupthink hizi.
Hakuna anayemchagulia mtu enitin mkuu,lazima tutakuwa na mawazo tofauti hapa,and so we're gonna try to disscuss it,na wewe ndio umekosea,posting hapo juu si kuhusu destiny yao kama unavyotaka kubadili issue.

Hapo juu ni wao kuwashurutisha wapenzi wao waichangie ccm,na nikasema wapenzi wao ni more than ccm,nakubali wana haki ya ku endorse whichever party the want to.

Lakini wajuwe kuwa wanaweza kuwapoteza wapenzi wa muziki wao wasio penda mafisadi.

Halafu sijui hiyo unayodai group thinking imetoka wapi?
 
Nijuavyo mimi, CHADEMA au chama kingine kikishinda watakuwa huko pia!!! So it is not even an agenda to discuss.
 
Nijuavyo mimi, CHADEMA au chama kingine kikishinda watakuwa huko pia!!! So it is not even an agenda to discuss.

Mazee,

Unanikumbusha vita vya kidini somewhere in the middle east, Lebnan I believe, kuna wanavijiji walikuwa wakiona wanajeshi wa kikristo wanakuja kijijini kwao, wakiulizwa "mna support majeshi gani?" wanajibu "Of course tuna support nyinyi wanajeshi wa kikristo" wanaachiwa waishi siku nyingine.

Wakija wanajeshi wa kiislamu na kuwauliza swali lile lile wanajibu vile vile "Of course tunawa support nyie wanajeshi wa kiislam". To them this was a survivor's game.

Kwa hiyo mimi siwezi ku knock their hustle, najua tu kwamba ni "wasanii" kweli kweli. Na transparency is good, nashukuru wametufahamisha wanasimama wapi.
 
Naona hapo kwenye highlights "tunakubalina"And that is only and only if nyimbo zao ni za kuupinga ufisadi kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo nyuma,kwa hiyo tunarudi kule kule.....Kwamba they might be endorsing either wanajeshi "wakristo" ama "waislam" in order to survive.....And thats "emanicipation of mental slavery?"
 
Si kila uwakilishi una mkataba rasmi,kama unawa brand wasanii hao "viruka njia",then ccm inaamini kuwa virukanjia hao wana influence kwenye jamii na wanawatumia kuomba mchango(kutoka kwa wananchi viruka njia?),na zaidi ya hapo sitaki kuwa naive.

Yes,niko tayari kusema hivyo kwa chama chochote,lakini kwasababu Taifa liko kwenye a "sense of urgency" lazima kutakuwa na wasio make sense at all.....Umamluki ni pale unaposhabikia chama cha mafisadi.....Siwachagulii destiny.

Hakuna anayemchagulia mtu enitin mkuu,lazima tutakuwa na mawazo tofauti hapa,and so we're gonna try to disscuss it,na wewe ndio umekosea,posting hapo juu si kuhusu destiny yao kama unavyotaka kubadili issue....Hapo juu ni wao kuwashurutisha wapenzi wao waichangie ccm,na nikasema wapenzi wao ni more than ccm,nakubali wana haki ya ku endorse whichever party the want to....Lakini wajuwe kuwa wanaweza kuwapoteza wapenzi wa muziki wao wasio penda mafisadi.....Halafu sijui hiyo unayodai group thinking imetoka wapi?

Huwezi kusema unaheshimu haki ya wenzako kuwa na mtazamo tofauti kisiasa, halafu wanapokuja na mtazamo tofauti unawasema vibaya kwa sababu wamekuja na mtazamo tofauti.This is a total contradiction.

Either huheshimu haki ya wengine kuwa na mtazamo tofauti wa kisiasa, na ndiyo sababu unawabalasa hawa, au kama unaheshimu huwezi kuwabalasa on the sole basis of having a different political opinion.

Kwa sababu unawabalasa, I take it huheshimu haki ya watu wengine kuwa na msimamo tofauti kisiasa, despite your politically correct disposition which seems to lack conviction when examined deeply. Unasema unaheshimu uhuru wa kisiasa kwa sababu ukisema huheshimu utaonekana kuwa a dinousaric bullish monster running on an antiquated steam engine and completely out of touch with freedom of expression and political affiliation, maneno yako yanaonyesha hili.

I mean, I hate CCM too, but give me something to work with here. Give me something a bit more nuanced, a bit more interesting, a bit more detailed than the generalities of "CCM mafisadi".

Kuna wengine wanaamini CCM mafisadi na chama pekee chenye uwezo wa kumaliza ufisadi ni CCM, kwa maana ya kwamba vyama vingine vyote vya upinzani ni njaa kali kuliko CCM na kuchagua upinzani kutakuwa ni sawa na walichofanya Zambia kumtoa Kaunda na kumleta Chiluba, au Kenya kukitoa KANU na kumleta Kibaki. Unaona mchezo ulivyo complex hapo?

You should know better than that.
 
Huwezi kusema unaheshimu haki ya wenzako kuwa na mtazamo tofauti kisiasa, halafu wanapokuja na mtazamo tofauti unawasema vibaya kwa sababu wamekuja na mtazamo tofauti.This is a total contradiction.

Either huheshimu haki ya wengine kuwa na mtazamo tofauti wa kisiasa, na ndiyo sababu unawabalasa hawa, au kama unaheshimu huwezi kuwabalasa on the sole basis of having a different political opinion.

I mean, I hate CCM too, but give me something to work with here. Give me something a bit more nuanced, a bit more interesting, a bit more detailed than the generalities of "CCM mafisadi".

You should know better than that.

Usidhani kwamba nina retreat from anything i said through out this thread,mimi kama mpenzi wa muziki wao i have the rght to say the ef i want bout dey asses!they're celebrities and i can talk shit bout em as i am pleased or see it fit!
 
There you said it yourself, kumbe you are just talking shyt. I thought you were trying to make a coherent case.

My bad.
 
Moja; Msanii ni mwananchi wa kawaida na ana haki ya kupigia debe chama chochote anachokitaka. Just like Jay-Z and Luda campaigned for Barack.

Pili; There is a reality detachment between wabongo WENGI wa jambo forum na wabongo tulioko bongo. You guys don't understand siasa za hapa as mbongo wa kawaida sees it.

Tatu; Majority of folks here are more Anti-CCM than Pro-Maendeleo. Which doesn't make any sense. You guys need to be rebels with causes, and not just anti-establishment.

Nne; Who stopped Upinzani from reaching out to watu mashuhuri hapa nyumbani ili waweze kuwanadi?
 
Bila ya ku overcome hii Borg-like "groupthink" na ku adopt individuality, hata tukiitoa CCM hatutabadilisha kitu, tutatoa groupthink moja na status quo yake, na kui replace na groupthink nyingine na status quo yake.

Huwezi ku fight groupthink kwa groupthink.

Hawa wasanii kila mmoja ni individual na ana haki ya kuamua kivyake, mbona kuna wasanii kibao wa Bongofleva sijawaona hapo? Mbona wanaoendorse upinzani sioni kusakamwa.

I hate CCM, but I hate groupthink even more.
 
There you said it yourself, kumbe you are just talking shyt. I thought you were trying to make a coherent case.

My bad.

We si unadai kuwa sina haki ya kusema chochote kuhusu celebrity? Soma posting yangu vizuri na uelewe nilichokuwa nammanisha, celebrities have no immune, beta understand dat!

Na kwasababu hiyo basi, wapenzi na mashabiki wa bongo flava wana haki ya kusema chochote kile kuhusu kukubali ama kutokubalina na matendo, statements, maamuzi etc,being it political or even socially ie ulipomention kuwa hawa ni viruka njia na wavuta ndumu,ama kweli mkuu wewe sasa ndo unajicontradict, umenikumbushia sana Bluray!

Sasa wewe kuwaita hayo majina aint shit?i hope yu get da gadamn point man.
 
Moja; Msanii ni mwananchi wa kawaida na ana haki ya kupigia debe chama chochote anachokitaka. Just like Jay-Z and Luda campaigned for Barack.

Pili; There is a reality detachment between wabongo WENGI wa jambo forum na wabongo tulioko bongo. You guys don't understand siasa za hapa as mbongo wa kawaida sees it.

Tatu; Majority of folks here are more Anti-CCM than Pro-Maendeleo. Which doesn't make any sense. You guys need to be rebels with causes, and not just anti-establishment.

Nne; Who stopped Upinzani from reaching out to watu mashuhuri hapa nyumbani ili waweze kuwanadi?

Una maanisha pro ccm equals pro maendeleo?
Hapo kwenye kuhusu uamuzi wa wasanii hao,lazima mjue hao si wananchi "wa kawaida" wana haki ya kupiga debe kwa chama chochote lakini haina maana kuwa wapenzi wao wengine hawatakasirishwa ama hata kuwaona mamluki etc,mimi mwananchi wa kawaida nina immune,wao ni big no.
 
We si unadai kuwa sina haki ya kusema chochote kuhusu celebrity?Soma posting yangu vizuri na uelewe nilichokuwa nammanisha,celebrities have no immune,beta understand dat!
Na kwasababu hiyo basi,wapenzi na mashabiki wa bongo flava wana haki ya kusema chochote kile kuhusu kukubali ama kutokubalina na matendo,statements,maamuzi etc,being it political or even socially ie ulipomention kuwa hawa ni viruka njia na wavuta ndumu,ama kweli mkuu wewe sasa ndo unajicontradict,umenikumbushia sana Bluray!
Sasa wewe kuwaita hayo majina aint shit?i hope yu get da gadamn point man.

Nionyeshe wapi nimesema huna haki ya kusema chochote kuhusu celebrity?

Hebu nionyeshe hicho kipande, ama sivyo omba radhi hapa kwa kuweka maneno mdomoni mwangu, na kwa kuwa na comprehension ya kichwapanzi.
 
To me, the only disappointing thing here is that people had any hope in Bongofleva to begin with.

Hii ni elitist POV isiyo na mshiko hata kidogo kwa hali halisi ya kisiasa. Umri wa kupiga kura ni kuanzia miaka 18 na Bongofleva ina appeal kubwa sana kwa vijana wa rika 18 na kuendelea aka kizazi kipya ambao ni wengi kweli.

Hakika CCM hapa imefanya mauaji! Nadhani CUF watabakia na Mzee Yusuf na Dogo Mfaume wakati CHADEMA wataambulia Nakaaya Sumari na Wasanii wawili-watatu wa nyimbo za Injili.
 
Back
Top Bottom