Wasanii kujilalamba Midomo....Wengi wamelemaa

Wasanii kujilalamba Midomo....Wengi wamelemaa

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Ukiacha kubana pua na kuvuta sauti au kuchanganya kizungu na kiswahili wanapoongea, wasanii na watu wengi mwashuhuri (Super Stars) wanaooongea, huwa wanafanya hivi kama Mr. Blue kwa kujiuma uma au kulambalamba midomo. Sasa imekuwa kama mazoea. Tizama kwa kina baadhi ya wasanii kama Diamond, Ray, Prof. Jay et al wanapoongea. Staili hii ni kama wanaiga..ila wapo wengine ambao wakiongea wanashikashika mikono au kukuna kichwa,. Yawezekana hawajui kuatgiriwa na ulemavu huu...
 

Attachments

  • Blue.jpg
    Blue.jpg
    8 KB · Views: 189
  • blue2.jpg
    blue2.jpg
    8.1 KB · Views: 181

Similar Discussions

Back
Top Bottom