Wasanii hii sasa imekuwa too much. Muimbe basi na upande wa pili

Wamepigika Sana hao msimu wa Corona acha vijana wapate ugali hapo,upande wa pili wenyewe mmebaki 12 ndo muimbiwe na wasanii wote hao
 
Naona ila propaganda kwamba msanii aki-side na CCM anapoteza mashabiki imejifia kibudu.
 
Ccm imekuwapo madarakani tangu uhuru, lakini mabadiriko makubwa yameonekana miaka mitano tu iliyopita. Ajabu wapinzani wanaonekana ndio tatizo kuu la nchi hii.!!. Na tatizo lenyewe (ccm), linasifiwa sasa
 
Wakuu habari za humu!

Wasanii sasa hasa wa Muziki imekuwa sasa sifa ata kama ndo hivyo lakini mfanye kwa kipimo.

Nyimbo za kukisifu chama cha CCM zimekuwa nyingi Mno hizo zote kitu gani? Mnatafuta au mmeambiwa mnalipwa, mbona sioni msanii yoyote akiwa amewatungia nyimbo Upande wa pili Chadema. Wasanii wengine wanatoa karibia nyimbo nne za kukisifu tu Chama. Mfano Rayvanny, karibia zote za CCM, katoa sasa hivi tena CCM TETEMA.

Muwe na aibu kidogo; hata upande wa pili wanatamani waimbiwe. Je, wakishika nchi aibu yenu mtaiweka wapi? Yangu ni hayo tu -- mbadilike. Hao wakiingia hawawajali tena zaidi ya miaka mitano.
1594579915550.png
 
Hivi **** msanii aliyetoa wimbo wa kizalendo kama zile za kina Shaggy - Strength of a woman, BOB Marley ---Africa Unite, Nas -- Iknow I can, Michael Jackon-- Heal the World, Heal the world n.k Au zao ni Huno na kusifia Chama?
 
Wakuu habari za humu!

Wasanii sasa hasa wa Muziki imekuwa sasa sifa ata kama ndo hivyo lakini mfanye kwa kipimo.

Nyimbo za kukisifu chama cha CCM zimekuwa nyingi Mno hizo zote kitu gani? Mnatafuta au mmeambiwa mnalipwa, mbona sioni msanii yoyote akiwa amewatungia nyimbo Upande wa pili Chadema. Wasanii wengine wanatoa karibia nyimbo nne za kukisifu tu Chama. Mfano Rayvanny, karibia zote za CCM, katoa sasa hivi tena CCM TETEMA.

Muwe na aibu kidogo; hata upande wa pili wanatamani waimbiwe. Je, wakishika nchi aibu yenu mtaiweka wapi? Yangu ni hayo tu -- mbadilike. Hao wakiingia hawawajali tena zaidi ya miaka mitano.
Chadema waimbiwe nyimbo za kusifiwa kwa lipi la maana walilolofanya?

Kama wabunge wao tu walikisaliti chama chao na kujiunga na CCM sasa watatushawishi vipi tuamini kama chama chao kipo vizuri ?
 
Back
Top Bottom