Wasanii hii sasa imekuwa too much. Muimbe basi na upande wa pili

Bongo muvi mi nawapenda hawa jamaa!!hasa mabinti wao wana misambwanda ya haja!!ningekua Raisi ningewatafuna sana hadi huko kwa mpemba!!sio kwa manundu hayo wananikosha sana!!!Namwambia Baby inama basi !kwa kasi ya 4g nazamisha rungu!!!!salaaaleh!!!
 
Bongo muvi mi nawapenda hawa jamaa!!hasa mabinti wao wana misambwanda ya haja!!ningekua Raisi ningewatafuna sana hadi huko kwa mpemba!!sio kwa manundu hayo wananikosha sana!!!Namwambia Baby inama basi !kwa kasi ya 4g nazamisha rungu!!!!salaaaleh!!!
Duu🤪 na hii ndo Tanzania ya viwanda🙉
 
Huko kwingine kuna kitu gani cha kuimbia? Hao CDM chama kimejaza wahuni watupu, walikuwa na watu wenye akili lakini miaka mitano hii wote wameondoka. Wamebaki hao akina Mbowe, Lema, Mdee, Sugu na watu wa namna hiyo
Ila wana akili kuliko PhD fake
 
Wakuu habari za humu!

Wasanii sasa hasa wa Muziki imekuwa sasa sifa ata kama ndo hivyo lakini mfanye kwa kipimo.

Nyimbo za kukisifu chama cha CCM zimekuwa nyingi Mno hizo zote kitu gani? Mnatafuta au mmeambiwa mnalipwa, mbona sioni msanii yoyote akiwa amewatungia nyimbo Upande wa pili Chadema. Wasanii wengine wanatoa karibia nyimbo nne za kukisifu tu Chama. Mfano Rayvanny, karibia zote za CCM, katoa sasa hivi tena CCM TETEMA.

Muwe na aibu kidogo; hata upande wa pili wanatamani waimbiwe. Je, wakishika nchi aibu yenu mtaiweka wapi? Yangu ni hayo tu -- mbadilike. Hao wakiingia hawawajali tena zaidi ya miaka mitano.
Biashara hainaga kuoneana aibu wala huruma, usidhani pale ni mapenzi ila pale kila mtu anajaribu kutengeneza connection na mamlaka ili wapate fursa
 
Ilibidi najiuliza hakuna msanii anaesifia harakati za upande wa pili ?Hii nchi unaweza ona CCM is there to rule for a vere vere longtemps.
 
Back
Top Bottom