Wasanii hawa sasahivi yanawabeba majina tu

Wasanii hawa sasahivi yanawabeba majina tu

Mkuu mzee wa ugali anafanya vzr sana kwenye show!..
Inaelekea kweli ww huwa unakaaa unasikiliza wafu fm tu!..
Show za ss bila Kibra haijabamba,radio cku hzi ni uzushi mtupu.
 
Wasanii Hawa Yamebaki Majina tu, Hakuna wanachofanya kweny Game Sasahivi..!

JUMA NATURE.
Q- CHILLAH.
BWANA MISOSI.
PROF.J.
DULLY ( MR MISIFA).
DUDUBAYA.
MR NICE.
MR BLUE.
T.I.D.

-Hebu taja wengne ambao unaona hakuna wanachofnya kweny Bongofleva sasahivi....

Wapi GK? Hata ujio wake mpya sijausoma Kabisaa.
 
Zay to the B mwana dada gaidi......... Lol.. Nilimsikia enzi hizo niko primary mpaka sasa sijamsikia tena

Kumbe hata vuzi moja hukuwa nalo;
Ivi kizinda ulikuwa bado unacho
Au wendakuzimu wa mitaa ya kwenu walichakichokonoa?

Bazazi ni Bazazi!
 
Kumbe hata vuzi moja hukuwa nalo;
Ivi kizinda ulikuwa bado unacho
Au wendakuzimu wa mitaa ya kwenu walichakichokonoa?

Bazazi ni Bazazi!

sijakulia mtaani mie, na wala hakuna aliye nichokonoa
 
sijakulia mtaani mie, na wala hakuna aliye nichokonoa

Lady doctor!
Hiyo ni habari njema
Kwanza hujawahi kuishi maeneo yenye mitaa
Kwa hiyo umeishi katika maeneo ya vibanda (slums)​
Pili bado unavizinda vyako; vya mbele na nyuma
U mlinzi mzuri sana​
Lakini sasa haviwezi kupata kutu kwa kuvunda?

Bazazi ni Bazazi!
​
 
Last edited by a moderator:

hahahaaa...... Bazazi unantafuta eeeeeeeeeeh we haya tu!
 
Last edited by a moderator:
Wasanii Hawa Yamebaki Majina tu, Hakuna wanachofanya kweny Game Sasahivi..!

JUMA NATURE.
Q- CHILLAH.
BWANA MISOSI.
PROF.J.
DULLY ( MR MISIFA).
DUDUBAYA.
MR NICE.
MR BLUE.
T.I.D.

-Hebu taja wengne ambao unaona hakuna wanachofnya kweny Bongofleva
prof j na mr blue wapo hai wewe
 
Wasanii Hawa Yamebaki Majina tu, Hakuna wanachofanya kweny Game Sasahivi..!

JUMA NATURE.
Q- CHILLAH.
BWANA MISOSI.
PROF.J.
DULLY ( MR MISIFA).
DUDUBAYA.
MR NICE.
MR BLUE.
T.I.D.

-Hebu taja wengne ambao unaona hakuna wanachofnya kweny Bongofleva sasahivi....

Dully, Prof J, Mr Blue are still alive !
Acha longoloñgo!
 
Back
Top Bottom