Wasanii hawa sasahivi yanawabeba majina tu

Wasanii hawa sasahivi yanawabeba majina tu

Mkweli77

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,459
Reaction score
1,144
Wasanii Hawa Yamebaki Majina tu, Hakuna wanachofanya kweny Game Sasahivi..!

JUMA NATURE.
Q- CHILLAH.
BWANA MISOSI.
PROF.J.
DULLY ( MR MISIFA).
DUDUBAYA.
MR NICE.
MR BLUE.
T.I.D.

-Hebu taja wengne ambao unaona hakuna wanachofnya kweny Bongofleva sasahivi....
 
Hebu mtoe prof hapo. Wimbo wake wa mwsho ni upi na alitoa lini hadi useme anabebwa na jina?
 
Pro J yupo, Tid yupo na Dully ametoa labda wewe unasikiriza Clouds sana. Ndiyo maana huwasikii. hao wenGine sawa na Abby Skills, Jaffaray mziki umemshina angeenda Bongo movie kama Hemed

Body without head
 
Hebu mtoe prof hapo. Wimbo wake wa mwsho ni upi na alitoa lini hadi useme anabebwa na jina?

nature anangoma mpya ameshilikishwa na fid q .prf ana ngoma mpya arafu huyu ----- anasema wanabebwa
 
Zay to the B mwana dada gaidi......... Lol.. Nilimsikia enzi hizo niko primary mpaka sasa sijamsikia tena

duh!! inaonekana tumegraduate mwaka mmoja!! enzi anavuma mi nakumbuka niko kama std six..
 
Back
Top Bottom