Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,587
- 7,968
Teh teh teh,itawachua muda mrefu kufikia viwango vya kimataifa,mtu akipata pesa ya kununua gari basi anavimba kichwa balaa!!
Ni kwa sababu wengi wao wametoka kwenye maisha ya dhiki na kama tujuavyo...fukara akipata basi hizo mbwembwe zake mpaka ardhi itapasuka, si mnamuona Diamond? Juzi tu hapa kaenda mbugani kuangalia wanyama eti anavaa suti ili akaone Simba vizuri. Mara atapanda jukwaani kuonyesha mku.ndu, yaani ili mradi tu.