Wasanii 10 wanaoongoza kwa utajiri barani afrika{summary}.

Wasanii 10 wanaoongoza kwa utajiri barani afrika{summary}.

Ina maana wanamziki wa hapa bongo wanapiga msiki bila malengo?mbona hamna hata mmoja aliyejitokeza kwenye kumi bora?
 
Wamechakachua Almasi wa Tz aka sukari ya mabinti hayupo mhhh.Hata Suguu napinga hoja
 
uploadfromtaptalk1355731523218.jpg
Katika nafasi ya 9 kutana na BANKY W kutoka nigeria.Ukipenda mwite mr.capable.Huyu jamaa hufanya show kati ya 3 hadi 4 kwa wiki.Banky ni balozi wa mtandao wa ETISALAT nchini nigeria na pia ameingia mkataba na kampuni ya samsung kuwatangazia bidhaa zao west africa yote.
 
uploadfromtaptalk1355731938718.jpg
Katika nafasi ya 10 ni JOSE CHAMELEONE.East africa nzima hakunaga mwanamuziki anayemfikia kwa mpunga.Anamiliki magari kama cadillac escalade,mercedes benz ml 200 super custom convertible na Premio,pia anamiliki bonge la mansion maeneo ya seguka hills kampala.
 
Huyu Yossou anamahela mno kuna ducumentari walionyesha maisha yake nikashangaa!!
Lkn mziki wake huku kwetu Afrika haujulikani saana kivile..!!
 
Mbona anaonekana kama ana ugonjwa wa ngozi?

Jaman tuache kumkufulu mungu! Huyo ni albino hakupenda kuwa hivyo na yeye anataman sik 1 kuwa na ngoz nzur kama yako

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Haiweziki kuwa Top 10 ya Africa Kuna watu huko Misri, Algeria na Morocco wanafanya Kweli Katika Tasnia ya Muziki mfano Amr Dhiab,Khaled,Natasha na Tamer Hosn Kusema kweli jamaa wanapesa mbaya otherwise tusiwajumuisha kama wanatoka Afrika pamoja na ushelisheli na Mauritus kama ujuavyo Mwanamuziki kutoka Afrika aliepata mafanikio hakuna wa kumfikia Mzanzibar Marehemu Freedie Mecury aliezaliwa madizini Unguja mshindi wa tuzo 4 za Brit, MTV,Na VH1. Alizaliwa akiwa na jina la Farid muislam mkhoja ismailia akafariki kwa HIV Alioupata kutokana na Ushoga Hanit.hi
 
Jaman tuache kumkufulu mungu! Huyo ni albino hakupenda kuwa hivyo na yeye anataman sik 1 kuwa na ngoz nzur kama yako

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Vipi mkuu mbona umeenda mbali sana,mimi huyu jamaa nilikuwa simfahamu,nilichofanya ni kuuliza tu,kwani nimefanya kosa gani?
 
Kwani yule steve kekkana yeye si mtu mwenye pesa nyng na mali enhe?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbona Juma Necha hawajamuweka kwenye orodha? Nasikia ana Taksi mbili, na kule Tmk kanunua banda la kuonyeshea video



Unamuonea mwenzako. Licha ya taxi mbili karibia bodaboda zote za TMK ni zake na animiliki mikokoteni 10 ya kubebea maji pamoja na kibanda cha kunyolea nywele. Kibongobongo, huyu ni trilionaire.
 
Ina maana wanamziki wa hapa bongo wanapiga msiki bila malengo?mbona hamna hata mmoja aliyejitokeza kwenye kumi bora?


Ulishaambiwa, wasanii wa fleva ni wababaishaji na hawana lolote. Siku zao za kusahaulika ziko mbioni. We si unaona msanii wa fleva akiisha anaisha kweli. Mwangalie ni Mr. Nice alivyofulia, jamaa anapiga baa watu 7 tu tena walevi na hawajitambui. Mbona mifano ipo mingi tu. Crazy GK, Mr. Paul, AY, Mwana FA, na wababaishaji kibao ambao sijawataja hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom