Wasanii 10 wanaoongoza kwa utajiri barani afrika{summary}.

Wasanii 10 wanaoongoza kwa utajiri barani afrika{summary}.

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,062
Reaction score
987
{1}.YOUSSOUR N'DOUR-SENEGAL
{2}.P SQUARE(PETER and PAUL OKOYE)-NIGERIA.
{3}.D BANJ-NIGERIA.
{4}.KOFFI OLOMIDE-DRC.
{5}.SALIF KEITA-MALI.
{6}.FALLY IPUPA-DRC.
{7}.2FACE IDIBIA-NIGERIA.
{8}.HUGH MASEKELA-SOUTH AFRIKA.
{9}.BANKY-NIGERIA.
[10}.JOSE CHAMELEONE-UGANDA.
N.B;Hii ni kwa mujibu wa blogu ya blogger.com.
 
Mr nice hayupo haiwezekani. Hehehehe!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hawa sio wa mwaka jana maana hata komando jide simuoni maana ana hammer ati..
 
hawa sio wa mwaka jana maana hata komando jide simuoni maana ana hammer ati..
Mkuu hammer kitu gani,P SQUARE katika nafasi ya pili wanamiliki ndege,jose chameleone katika nafasi ya 10 anamiliki boti ya kifahari.
 
Mie nilidhani utajiri wa tungo na mashahiri yanayopendwa na kuvutia wengi...kumbe pesa...ahahahah...haijawahi na haitokaa itokee duniani mwanamziki au mwanamichezo kuwa tajiri duniani..
 
uploadfromtaptalk1355729844939.jpg
Huyu ndo youssour n'dour katika nafasi ya 1.Huyu mzee anamiliki vituo kadhaa vya radio na runinga nchini senegal.
 
uploadfromtaptalk1355730066197.jpg
Paul &Peter kutoka nigeria wanakimbiza mbaya kwa mpunga katika nafasi ya pili.
 
uploadfromtaptalk1355730254338.jpg
D'banj katika nafasi ya tatu.Yeye ni mwafrika wa kwanza kuwa signed katika label ya kanye west.Pia anamiliki lounge inayoitwa KOKO LOUNGE,na ana kiwanda cha maji safi ya kunywa i.e KOKO WATER.
 
Mbona Juma Necha hawajamuweka kwenye orodha? Nasikia ana Taksi mbili, na kule Tmk kanunua banda la kuonyeshea video
{1}.YOUSSOUR N'DOUR-SENEGAL
{2}.P SQUARE(PETER and PAUL OKOYE)-NIGERIA.
{3}.D BANJ-NIGERIA.
{4}.KOFFI OLOMIDE-DRC.
{5}.SALIF KEITA-MALI.
{6}.FALLY IPUPA-DRC.
{7}.2FACE IDIBIA-NIGERIA.
{8}.HUGH MASEKELA-SOUTH AFRIKA.
{9}.BANKY-NIGERIA.
[10}.JOSE CHAMELEONE-UGANDA.
N.B;Hii ni kwa mujibu wa blogu ya blogger.com.
 
uploadfromtaptalk1355730578473.jpg
Huyu ndo koffi katika nafasi ya nne,huwa ana charge 100000 euros kwa show moja.
 
uploadfromtaptalk1355730747061.jpg
Hapa ni lulu ya afrika,SALIF KEITA ktk nafasi ya 5.
 
uploadfromtaptalk1355730839306.jpg
Fally ipupa katika nafasi ya 6.Makampuni lukuki ya viwalo nchini ufaransa yameingia naye mkataba kwa ajili ya matangazo ya nguo zao.
 
uploadfromtaptalk1355731118760.jpg
Hapa ni 2FACE IDIBIA ktk nafasi ya 7.Jamaa huwa ana-make $50k-$80k kwa kila show.
 
uploadfromtaptalk1355731289049.jpg
Katika nafasi ya nane ni Hugh masekela kutoka S.A.Ni msanii wa muziki wa JAZZ anayeheshimika sana S.A.HUGH anamiliki studio kubwa ya muziki nchini botswana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom