Wasanii 10 wanaoongoza kwa utajiri barani afrika{summary}.

Wasanii 10 wanaoongoza kwa utajiri barani afrika{summary}.

Wamewapima kwa kiwango cha mkwanja wanachoingiza kwa mwaka, ingekuwa ni kwa muonekano wa ngozi lazima dogo wa kujichubua Diamond angeingia kundini
Mkuu ukunielewa kabisa,kwanza nakubaliana kuwa huyu jamaa anaingiza mkwanja mkubwa kwa mwaka,akini nilikuwa interested kujua afya yake ya ngozi na nashukuru baadhi ya watu walionielewa nilichokuwa nauliza wameniambia kuwa ni albino!
 
Got u gud, asante
 
usijichanganye...ay kapata tuzo afrika kusini si kama mwanamuziki bora tanzania ni kwa sababu ni yeye peke yake (nafikiri na wengine watatu) ndiyo waliopelekea video zao kugombania tuzo na ndiyo maana ameshinda. Ay si mwanamuziki ni mbabaishji tu, eti anaimba hip hop, yaani haoni hata haibu, unamwimbia nani swahili hip hop? Jiunge na msondo ama twanga utunge tungo zenye akili si hizi demu wangu huyu wako yule, pipi yangu hii yako ile, upuuzi mtupu.

acha wivu wa kijinga ulitaka atumie kugha ipi kama si swahili .makirikiri wanatesa afrika kwa lugha yao .so mwache ay aendelee kupaisha kiswahili chetu.
 
acha wivu wa kijinga ulitaka atumie kugha ipi kama si swahili .makirikiri wanatesa afrika kwa lugha yao .so mwache ay aendelee kupaisha kiswahili chetu.

Yes Makhirikhiri wanatesa kwao Botswana kwa lugha yao kwa kupiga muziki wa kwao wa asili ila si wa kuiga. Tatizo la watanzania ukisema ukweli unakandia ama una wivu, sasa AY ni mwanamuziki gani? Yule si mwanmuziki si chochote.
 
hawa sio wa mwaka jana maana hata komando jide simuoni maana ana hammer ati..

ah ah we unaongelea hammer wakati raia wana jet na madege....na majumba marekani..jiide baadae sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom