Wasaidizi wa Rais tambueni kwamba huko Marekani atakumbana na Maswali mazito kuhusu Demokrasia na kesi ya Mbowe , Muandaeni mapema kisaikolojia

Kwanza asante sana kwa ushauri huu, japo umeelekezwa kwa waserikali washauri, la mimi sio mserikali ila lazima Watanzania tujifunze kuwa wakweli toka ndani ya nafsi zetu kwa kutenganisha, facts and falacies .
  1. Democrasia haijauwawa Tanzania, Tanzania ni nchi ya kidemocrasia, inayo fatale, mfumo wa vyama vingi vya siasa ambayo ndio democrasia yenyewe.
  2. Hiyo kesi sio kesi ya uongo, ni kesi kweli ndio maana inasikilizwa, na inaita mashahidi.
  3. Freeman Mbowe ni Mwenyekiti tuu wa Chadema na sio bingwa wa democrasia Tanzania, hana ubingwa wowote wa democrasia, angekuwa bingwa, ana ubingwa wowote, saa hizi tunavyo zungumza, angekuwa ikulu. Ubingwa ni ushindi, bingwa wa democrasia ni aliye chukua ubingwa na yuko Ikulu.
  4. Hoja yako ya nne naikubali 100% chini ya 100%.
  5. P
Mkuu uteuzi hauwezi kupata kwa vile huna watu wala koneksheni , hatujasahau kilichokukuta kwenye kura za maoni Kawe
 
Kwanza asante sana kwa ushauri huu, japo umeelekezwa kwa waserikali washauri, la mimi sio mserikali ila lazima Watanzania tujifunze kuwa wakweli toka ndani ya nafsi zetu kwa kutenganisha, facts and falacies .
  1. Democrasia haijauwawa Tanzania, Tanzania ni nchi ya kidemocrasia, inayo fatale, mfumo wa vyama vingi vya siasa ambayo ndio democrasia yenyewe.
  2. Hiyo kesi sio kesi ya uongo, ni kesi kweli ndio maana inasikilizwa, na inaita mashahidi.
  3. Freeman Mbowe ni Mwenyekiti tuu wa Chadema na sio bingwa wa democrasia Tanzania, hana ubingwa wowote wa democrasia, angekuwa bingwa, ana ubingwa wowote, saa hizi tunavyo zungumza, angekuwa ikulu. Ubingwa ni ushindi, bingwa wa democrasia ni aliye chukua ubingwa na yuko Ikulu.
  4. Hoja yako ya nne naikubali 100% chini ya 100%.
  5. P
Katika Africa kuwa ikulu sio kuwa bingwa wa demokrasia ndugu. Afrika chaguzi huadaliwa na watawala,upigaji na kuhesabu kura husimamiwa na watawala na mwishowe matokeo hutangazwa na haohao watawala. Kwa mazingira hayo anayekuwa ikulu sio bingwa wa demokrasia bali ni kipenzi cha watawala. Kama sio hvo pale Kenya means wa Jaramogi ambaye ni bingwa wa demokrasia angeishakuwa ikulu. Tunaizungumzia demokrasia ya Afrika ndugu.
 
Suala la demokrasia na udikteta halijawahi kuwa na Mswalie Mtume
Mseven na kagame wanapeta tuu, angalau jiwe alikuwa anaenda nao sawa, halafu mnaukuza udikteta wa mama hivi anawafikia wa hapo juu? Kama magu aliweza kuyafanya yale kipindi kile na marekani haikuwa na msaada wowote katika kurudisha demokrasia bado mnaitegemea tuu marekani iwasaidie? Pambaneni ninyi wenyewe marekani siku hizi hawajishughulishi Sana na kupigania demokrasia ya wengine, ukiona wanakuja ujue maslahi yao yameguswa
 
Tangu ufikirie kwamba bashite anafaa kuwa Rais ajaye baada ya magufuri nilijua haupo sawa kichwani
 
View attachment 1943893

Hii ndiyo Taarifa ambayo wanaomsaidia Chifu Hangaya wanapaswa kufahamu , Jambo kubwa atakaloulizwa huko Marekani anakoenda ni kuhusu kuuawa kwa Demokrasia nchini Tanzania na Kesi ya uongo ya Ugaidi wa uongo dhidi ya Bingwa wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe .

Balozi wa Marekani nchini Tanzania anafahamu uchafu wote uliofanyika tangu uchaguzi wa serikali za mitaa , hadi uchaguzi Mkuu , na anafahamu njama zote dhidi ya Mbowe na Chadema na taarifa zote kuhusu uchafu huu zimo ndani ya Ikulu ya Marekani na kwenye ofisi za UN.

Hakuna Dikteta aliyeingia Marekani akatoka salama .

Msije kusema hatukuwaambia
Rais Samia hafanyi ziara Marekani na ndiyo taarifa ya ikulu haikulisema, taarifa imesema wazi Rais anakwenda UN, na kama angekuwa na ziara baada ya kuhudhuria kikao taarifa ingesema baada ya UN atafanya ziara Marekani, tujifunze kujua mambo badala ya kubishana kama Simba na Yanga.
 
Katika Africa kuwa ikulu sio kuwa bingwa wa demokrasia ndugu. Afrika chaguzi huadaliwa na watawala,upigaji na kuhesabu kura husimamiwa na watawala na mwishowe matokeo hutangazwa na haohao watawala. Kwa mazingira hayo anayekuwa ikulu sio bingwa wa demokrasia bali ni kipenzi cha watawala. Kama sio hvo pale Kenya means wa Jaramogi ambaye ni bingwa wa demokrasia angeishakuwa ikulu. Tunaizungumzia demokrasia ya Afrika ndugu.
Exactly bro
 
View attachment 1943893

Hii ndiyo Taarifa ambayo wanaomsaidia Chifu Hangaya wanapaswa kufahamu , Jambo kubwa atakaloulizwa huko Marekani anakoenda ni kuhusu kuuawa kwa Demokrasia nchini Tanzania na Kesi ya uongo ya Ugaidi wa uongo dhidi ya Bingwa wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe .

Balozi wa Marekani nchini Tanzania anafahamu uchafu wote uliofanyika tangu uchaguzi wa serikali za mitaa , hadi uchaguzi Mkuu , na anafahamu njama zote dhidi ya Mbowe na Chadema na taarifa zote kuhusu uchafu huu zimo ndani ya Ikulu ya Marekani na kwenye ofisi za UN.

Hakuna Dikteta aliyeingia Marekani akatoka salama .

Msije kusema hatukuwaambia

Ataumbuka kwa nani?
Hivi na nyie mtaendelea kuwa matutusa hadi lini?
 
Mseven na kagame wanapeta tuu, angalau jiwe alikuwa anaenda nao sawa, halafu mnaukuza udikteta wa mama hivi anawafikia wa hapo juu? Kama magu aliweza kuyafanya yale kipindi kile na marekani haikuwa na msaada wowote katika kurudisha demokrasia bado mnaitegemea tuu marekani iwasaidie? Pambaneni ninyi wenyewe marekani siku hizi hawajishughulishi Sana na kupigania demokrasia ya wengine, ukiona wanakuja ujue maslahi yao yameguswa

Fools never learn mkuu. Don’t waste your time
 
Kwanza asante sana kwa ushauri huu, japo umeelekezwa kwa waserikali na mimi sio mserikali ila lazima Watanzania tujifunze kuwa wakweli toka ndani ya nafsi zetu kwa kutenganisha, facts and falacies .
  1. Democrasia haijauwawa Tanzania, Tanzania bado ni nchi ya kidemocrasia, inayo fuata mfumo wa vyama vingi vya siasa ambayo ndio democrasia yenyewe, ila democrasia yetu ni African Democray na sio democrasia ya wazungu.
  2. Hiyo kesi sio kesi ya uongo, ni kesi kweli ndio maana inasikilizwa, na inaita mashahidi walioshuhudia. Unaonaje tukisubiri hukumu ndio tuseme ilikuwa kesi ya uongo?.
  3. Freeman Mbowe ni Mwenyekiti tuu wa Chadema na sio bingwa wa democrasia Tanzania, hana ubingwa wowote wa democrasia, angekuwa bingwa, au ana ubingwa wowote, saa hizi tunavyo zungumza, angekuwa yuko Ikulu siku nyingi. Ubingwa wa democrasia ni ushindi kwenye uchaguzi wa kidemokrasia kama uchaguzi wetu, la bingwa wa kweli wa democrasia ni yule aliye chukua ubingwa na yuko Ikulu.
  4. Hoja yako ya nne naikubali 100% chini ya 100%.
  5. P
Inasikitisha sana..
 
Hao watakaouliza democrasia yetu mbona sijawahi kuwasikia wakiuliza kuhusu democrasia huko Urusi? Lakini mbona wamewaacha Talibani watawale kidini na wakijua hakutakuwa na democrasia? Unafiki tu Mama ajibu vile anaelewa hatupo kuwafurahisha watu na hakuna Uhuru usio na mipaka
Ushawai sikia urusi inawaomba condom, loans, chanjo??

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom