Wasaidizi wa Rais tambueni kwamba huko Marekani atakumbana na Maswali mazito kuhusu Demokrasia na kesi ya Mbowe , Muandaeni mapema kisaikolojia

Rais Samia hafanyi ziara Marekani na ndilo taarifa ya ikulu haikulisema, taarifa imesema wazi Rais anakwenda UN, na kama angejuwa na ziara baada ya kuhudhuria kikao taarifa ingesema baada ya UN atafanya ziara Marekani, tujifunze kujua mambo badala ya kubishana kama Simba na Yanga.
UN iko wapi ?
 
Rais ameenda US kwa ziara ya kikazi(work visit) UN hajaenda kwa ziara ya kiserikali(state visit) atamaliza mkutano wake atakutana na wadau kadhaa wa maendeleo atarudi TZ..
Kwamba hataulizwa chochote kuhusu ujinga wa Tanzania ?
 
Tangu ufikirie kwamba bashite anafaa kuwa Rais ajaye baada ya magufuri nilijua haupo sawa kichwani
Njaaa ilimshika na akaaminishwa Wasukuma watatawala kwa muda mrefu. Lakini Mungu anatuwazia mema Watanzania. Yeye mwenyewe akaingilia kati na leo tuko huru
 

Hii ndiyo Taarifa ambayo wanaomsaidia Chifu Hangaya wanapaswa kufahamu, Jambo kubwa atakaloulizwa huko Marekani anakoenda ni kuhusu kuuawa kwa Demokrasia nchini Tanzania na Kesi ya uongo ya Ugaidi wa uongo dhidi ya Bingwa wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe .

Balozi wa Marekani nchini Tanzania anafahamu uchafu wote uliofanyika tangu uchaguzi wa serikali za mitaa, hadi uchaguzi Mkuu , na anafahamu njama zote dhidi ya Mbowe na Chadema na taarifa zote kuhusu uchafu huu zimo ndani ya Ikulu ya Marekani na kwenye ofisi za UN.

Hakuna Dikteta aliyeingia Marekani akatoka salama .

Msije kusema hatukuwaambia
UONGO HUO HUYO MUHUNI TU
 
Back
Top Bottom