Wasaidizi wa Kazi

Wasaidizi wa Kazi

Wapo na nimeshaona nakushiriki pia harusi zao, na wengine wanasoma hadi nje ya nchi, cha msingi sjue
 
Dada aliyetulea sisi alikuja 1994 alikaa mpaka akaja kuolewa 2008. .

Ila wadada wa siku hizi akishajua kuvaa skin_jeans basi mtaa mzima hawanywi maji

Hata umtreat vizuri kiasi gani. . Mi msichana wangu nilimtuma dukani saa12 jioni akapotelea huko piga simu hapokei, usiku kucha, sikulala siku hiyo dooh
 
Aise, kwahiyo ndio aliondoka hivyo.
 
Waliokaa kwenye majumba mpaka kuolewa ni wasichana waliofanya kazi miaka ya nyuma. Walio wengi ukishakaa naye mwaka au miaka miwili akishanawiri anataka kwenda kwao na akishaenda ndio harudi tena.

Hivyo kwa sasa ni ngumu yaani kumi kwa mmoja.
Kweli kabisa. Na siku hizi wakinawiri basi utasikia dada nimepata mchumba nataka nikakae kwake, ukimshauri mwambie akuoe anakuona mchawi jini subihani kisirani. Anaondoka na gubu kanuna na kuvuta mdomo kama kasuku.
Miezi mitano mbeke anarudi kaparara, utasikia dada samahani, nilipitiwa.
Nishawahi mjibu mmoja kama ulipitiwa basi pitiliza uende kwenu.
Now days madereva bodaboda wanaharibu kweli wadada wa kazi.
Wadada walikuwa zamani, mmoja alitulea toka tupo wadogo mpaka tunakuwa hivi akawa ndugu yetu kabisa mpaka tukahama nae, lakini mama yake aliugua sana ikabidi arudi kwao. Kila mwezi mama akawa anamtumiaa ela ya kumuuguza mama yake.
 
Kweli kabisa kwanza wengi wanakuja wakiwa wameshajua kila kitu , wakati wa zamani hata wanaume walikuwa hawana na walikuwa wanaheshima , wanajitunza na kujithamini.
Wanakuja wako na simu zao wenyewe za vitochi hivi hivi, wako busy kuongea na ndugu zao.
Wanaibaje vijiela sokoni ili wanunue air time.
 
Wanakuja wako na simu zao wenyewe za vitochi hivi hivi, wako busy kuongea na ndugu zao.
Wanaibaje vijiela sokoni ili wanunue air time.
Mtoto mzuri mwenzangu umenikumbusha mbali nimeshawahi kumpata mdada wa hivyo yaani mpaka anaondoka alikusanya hela za kutosha kwa sababu nilikuwa na tabia ya usahaulifu ila tangu kipindi hicho nilipata fundisho ambapo kwa sasa kama nikimtuma mdada nampa hela iliyo kamili na akija naangalia alivyonunua ni sawa au kama itakuwa hela ya kurudisha basi tutapigiana mahesabu mpaka hela yangu ikamilike.

Wanahitaji akili sana aisee kuishi nao.
 
Back
Top Bottom