Barabara muhimu zilizobeba uchumi wa nchi ambazo zimetelekezwa. Serikali tupieni jicho

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,811
Wote kwenye maeneo yetu tunahitaji Barabara kulingana na umuhimu wake kuchochea uchumi wa mtu mmja mmja na Taifa Kwa ujumla.

Pamoja na umuhimu huo Kuna Barabara ambazo ni za Muhimu sana Kwa maendelea ya Nchi na watu lakini bahati mbaya sana Serikali ni kama imezitelekeza.

Serikali azipe kipaombele Cha pekee Barabara nitakazozitaja kwenye orodha hapa chini,maana zimekaa kimkakati sana :+

1.Mpanda(Sitalike)-Kibaoni-M/Moto-Muze-Ilemba-Kamsamba/Kilyamatundu-Mlowo.
(Hii inaumganisha Mikoa 3 ya Katavi,Rukwa na Songwe na inapita blonde la Ziwa Rukwa kwenye uzalishaji mkubwa wa mazao).

2.Mpanda-Ugalla-Kaliua-Ulyankulu-Kahama-Geita
(Hii inaunganisha Mikoa 4 ya Katavi,Tabora,Shinyanga,Geita na ,itafungua uchumi wa maeneo tajwa ,pia ni njia fupi ya kufika Kanda ya Ziwa kutoka Katavi badala ya Kupitia Sikonge).

3.Iringa-Kilolo-Ifakara-Mahenge-Liwale
(Hii inaunganisha Mikoa 3 ya Iringa, Morogoro na Lindi na itafungua na kuunganisha Uchumi wa Mikoa ya Kusini na Kanda ya Ziwa na Kati).

4.Isongole Border-Itumba(Ileje)-Shigamba-Mbalizi-Chang'ombe-Makongolosi-Rungwa-Itigi-Singida/Tabora.
(Hii inaunganisha Mikoa 4 ya Songwe,Mbeya,Tabora na Singida Hadi Malawi Kupitia Mpaka wa Isongole.Hii ni Barabara ya kufungua Uchumi wa Mikoa ya Nyanda za Juu na Kanda ya Ziwa Hadi Malawi).

5.Mpanda-Uvinza-Kanyani(Kasulu).
(Hii ni Barabara Kuu ambayo ni muhimu sana Kwa kuunganisha Nchi za Burundi,Rwanda,Uganda,DRC Hadi Zambia via Sumbawanga na Tunduma).

6.Tabora-Kahama-Misasi Junction-Mwanza
(Hii inaunganisha Mikoa 3 ya Tabora,Shinyanga na Mwanza Kwa kufungua Uchumi maeneo inakopita)

7.Ifakara-Madeke-Njombe
(Hii inaunganisha na kufungua Uchumi wa Mikoa ya Njombe, Morogoro na Mbeya).

8.Iringa-Ruaha NP
(Hii itafungua Kitovu Cha Utalii wa Kusini)

9.Kolandoto(Shinyanga)-Mhunze-Mwangongo-Lalago-Mwanhuzi-Nkoma Jct-Sibiti River-Oldeani-Karatu.
(Barabara hii inaunganisha Mikoa 4 ya Shinyanga,Simiyu,Singida na Arusha.Hii ni Barabara Shortcut kutoka Mikoa ya Kaskazini na kuunganisha Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Magharibi Mwa Tanzania).

10.Njombe-Ludewa-Mbamba Bay.
(Hii itafungua Barabara za mwambao wa Ziwa Nyasa na kuwezesha Uchumi wa Makaa ya mawe na Chuma huko Liganga na Mchuchuma na kuipaisha Bandari ya Mbamba Bay)

11.Chomba(Tzn/MoZ Border)-Nalasi Jct-Azimio Jct-Tunduru-Kwitanda-Liwale-Njinji-Nangurukuru Jct-Kilwa Masoko.
(Hii ni muhimu sana kuifungua Mkoa wa Lindi Kiuchumi na Kuunganisha Tanzania na Msumbiji via Ruvuma Region.

12.Tzn/BRD BP-Mugunzu-Kibondo-Moyowosi GR-Uyowa-Ulyankulu-Tabora.
(Hii inaunganisha Burundi na Tanzania Hadi Dodoma pamoja na Mikoa ya Kigoma,Tabora na Singida).

13.Inyonga(Katavi)-Kapalala-Saza Jct-Galula JCt-Chang'ombe-Mbalizi-Isangati Jct-Kiwira(Tukuyu)

14.Inyonga(Katavi)-Gua-Kapalala-Saza Jct-Makongolosi-Chunya-Mbeya.

15.Inyonga(Katavi)-Ilunde-Kitunda-Rungwa JCT-Itende Camp-Pawaga Jct-Iringa

16.Iringa-Pawaga JCT-Sanze-Heke-Manyoni(Singida).

17.Inyonga(Katavi)-Ilunde-Kitunda-Rungwa Jct-Itende Camp-Sanze-Chidinilo-Bihawana Jct(Dodoma).

18.Sumbawanga-Muze-Njiapanda-Kavuu River-Chingunde-Inyonga.

19.Tabora-Isikizya(Uyui HQ)-Mgumbira-Singida.

20.Singida-Sepuka JCt-Mlandala-Simbo-Puge JCT(Tabora)

21.Igawa-Rujewa-Ubaruku-Madibira-Tungamalenga-Pawaga JCt-Izazi Jct.

22.Inter-Regional Inner Ring Road-1.
Igawa(Mbeya)-Ubaruku-Madibira-Kinanyambo(Mafinga)-Usokani-Kisuse-MlimbaJct(Morogoro)-Madeke-Lupembe-Njombe-Iyayi Jct.

23.Inter-Regional Outer Ring Road-2

Igawa-Ubaruku-Madibira-Tungamalenga-Iringa-Kilolo-Idete-Mlimba Jct-Madeke-Lupembe-Njombe-Iyayi Jct.

Barabara zote mbili (22&23) hizo zinaunganisha Mikoa 10 ya Mbeya-Iringa-Njombe-Morogoro Kama Ring Road.
Screenshot_20240412-114625.jpg

My Take

-Wizara ya Ujenzi & TanRoads ni Wakati wa kuanza kujenga Barabara chache chache Kimkakati zaidi badala ya kutapacha rasilimali Kwa kujenga km 1-20 Kila mahala Kila Jimbo Kisiasa,hii haileti Tija na inapoteza rasilimali pesa na mda.

-Baadhi ya Barabara sijazitajia ila natambua kwamba Kuna Wakandarasi wanaendelea na kazi.

-Tafadhari Serikali wekeni uzito wa kipekee kwenye Barabara tajwa hapo Juu na ikiwezekana zote zijengwe Kwa Mikataba ya EPC+F Ili kuharakisha utekelezwaji wake.

-Mods ikiwezekana fanyeni kuwa tag Wizara ya Ujenzi.
 
Nilisikia Barabara ya Itigi .
to Chunya ineanzwa kujrngwa ni kweli?!
Ujenzi uliopo ni WA Kuunga unga wa km 10 mara 25 hivyo.

Lakini Barabara hiyo Ili ijengwe serious inatakiwa commitment ya Wakandarasi kadhaa kwenye section tofauti.
 
Wote kwenye maeneo yetu tunahitaji Barabara kulingana na umuhimu wake kuchochea uchumi wa mtu mmja mmja na Taifa Kwa ujumla.

Pamoja na umuhimu huo Kuna Barabara ambazo ni za Muhimu sana Kwa maendelea ya Nchi na watu lakini bahati mbaya sana Serikali ni kama imezitelekeza.

Serikali angalieni Kwa jicho la pekee Barabara nitakazozitaja kwenye orodha hii;

1.Mpanda(Sitalike)-Kibaoni-M/Moto-Muze-Ilemba-Kamsamba/Kilyamatundu-Mlowo.
(Hii inaumganisha Mikoa 3 ya Katavi,Rukwa na Songwe na inapita blonde la Ziwa Rukwa kwenye uzalishaji mkubwa wa mazao).

2.Mpanda-Ugalla-Kaliua-Ulyankulu-Kahama-Geita
(Hii inaunganisha Mikoa 4 ya Katavi,Tabora,Shinyanga,Geita na ,itafungua uchumi wa maeneo tajwa ,pia ni njia fupi ya kufika Kanda ya Ziwa kutoka Katavi badala ya Kupitia Sikonge).

3.Iringa-Kilolo-Ifakara-Mahenge-Liwale
(Hii inaunganisha Mikoa 3 ya Iringa, Morogoro na Lindi na itafungua na kuunganisha Uchumi wa Mikoa ya Kusini na Kanda ya Ziwa na Kati).

4.Isongole Border-Itumba(Ileje)-Shigamba-Mbalizi-Chang'ombe-Makonholosi-Rungwa-Itigi-Singida/Tabora.
(Hii inaunganisha Mikoa 4 ya Songwe,Mbeya,Tabora na Singida Hadi Malawi Kupitia Mpaka wa Isongole.Hii ni Barabara ya kufungua Uchumi wa Mikoa ya Nyanda za Juu na Kanda ya Ziwa Hadi Malawi).

5.Mpanda-Kigoma-Uvinza-Kasulu.
(Hii ni Barabara Kuu ambayo ni muhimu sana Kwa kuunganisha Nchi za Burundi,Rwanda,Uganda,DRC Hadi Zambia via Sumbawanga na Tunduma).

6.Tabora-Kahama-Misasi Junction-Mwanza
(Hii inaunganisha Mikoa 3 ya Tabora,Shinyanga na Mwanza Kwa kufungua Uchumi maeneo inakopita)

7.Ifakara-Madeke-Njombe
(Hii inaunganisha na kufungua Uchumi wa Mikoa ya Njombe, Morogoro na Mbeya).

8.Iringa-Ruaha NP
(Hii itafungua Kitovu Cha Utalii wa Kusini)

9.Njombe-Ludewa-Mbamba Bay.
(Hii itafungua Barabara za mwambao wa Ziwa Nyasa na kuwezesha Uchumi wa Makaa ya mawe na Chuma huko Liganga na Mchuchuma na kuipaisha Bandari ya Mbamba Bay)

10.Kilwa Masoko(Kilwa)-Nangurukuru-Liwale.
(Hii ni muhimu sana kuifungua Mkoa wa Lindi Kiuchumi)

My Take
Baadhi ya Barabara sijazitajia ila natambua kwamba Kuna Wakandarasi wanaendelea na kazi.

Chonde chonde Serikali wekeni uzito wa kipekee kwenye Barabara tajwa hapo Juu na ikiwezekana zote zijengwe Kwa Mikataba ya EPC+F Ili kuharakisha utekelezwaji wake.
Kutoka Karagwe (Nyakahanga) hadi Ngara (Benaco) km 124 tu. Hii barabara inaunganisha Nchi tano za Africa Mashariki (Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya na DRC). Ajabu ni kuwa Waziri wa Ujenzi (Bashungwa) ndiye Mbunge wa eneo hili.
 
Ongeza na hizi, Kyaka Kyakakela,Katoro,Nyakibimbili, Kishogo,Ntoija, Kyanyabasa,Kanyinayo,Matembe,Bujugo adi Katerero hapo ndo unakutana na Rami nyingine,hii njia kama inatangenezwa uchumu wa ukanda uho na taifa kwa ujumla unaweza kukua sana
 
Uandishi wako huo Sasa ndio Changamoto
 
Kutoka Karagwe (Nyakahanga) hadi Ngara (Benaco) km 124 tu. Hii barabara inaunganisha Nchi tano za Africa Mashariki (Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya na DRC). Ajabu ni kuwa Waziri wa Ujenzi (Bashungwa) ndiye Mbunge wa eneo hili.
Kwa maelezo hayo naunga mkono hoja hiyo Barabara iwepo ingawa Kwa Kagera nahisi Kuna mkandarasi kwenye hiyo Barabara ,ngoja nirejee kwenye source yangu.

Ila Kwa siasa za Tanzania mpaka hapo mjihesabu itajengwa ,jibu unalo.
 
Means ipo kwenye consideration za serikali
Barabara zote ziko kwenye considering ila tunataka ziharakishwe kulingana na umuhimu wake badala ya kujenga km Chache chache na kutapanya rasilimali ilimradi kufurahisha wabunge.

Tujenge kimkakati.
 
Wote kwenye maeneo yetu tunahitaji Barabara kulingana na umuhimu wake kuchochea uchumi wa mtu mmja mmja na Taifa Kwa ujumla.

Pamoja na umuhimu huo Kuna Barabara ambazo ni za Muhimu sana Kwa maendelea ya Nchi na watu lakini bahati mbaya sana Serikali ni kama imezitelekeza.

Serikali angalieni Kwa jicho la pekee Barabara nitakazozitaja kwenye orodha hii;

1.Mpanda(Sitalike)-Kibaoni-M/Moto-Muze-Ilemba-Kamsamba/Kilyamatundu-Mlowo.
(Hii inaumganisha Mikoa 3 ya Katavi,Rukwa na Songwe na inapita blonde la Ziwa Rukwa kwenye uzalishaji mkubwa wa mazao).

2.Mpanda-Ugalla-Kaliua-Ulyankulu-Kahama-Geita
(Hii inaunganisha Mikoa 4 ya Katavi,Tabora,Shinyanga,Geita na ,itafungua uchumi wa maeneo tajwa ,pia ni njia fupi ya kufika Kanda ya Ziwa kutoka Katavi badala ya Kupitia Sikonge).

3.Iringa-Kilolo-Ifakara-Mahenge-Liwale
(Hii inaunganisha Mikoa 3 ya Iringa, Morogoro na Lindi na itafungua na kuunganisha Uchumi wa Mikoa ya Kusini na Kanda ya Ziwa na Kati).

4.Isongole Border-Itumba(Ileje)-Shigamba-Mbalizi-Chang'ombe-Makonholosi-Rungwa-Itigi-Singida/Tabora.
(Hii inaunganisha Mikoa 4 ya Songwe,Mbeya,Tabora na Singida Hadi Malawi Kupitia Mpaka wa Isongole.Hii ni Barabara ya kufungua Uchumi wa Mikoa ya Nyanda za Juu na Kanda ya Ziwa Hadi Malawi).

5.Mpanda-Kigoma-Uvinza-Kasulu.
(Hii ni Barabara Kuu ambayo ni muhimu sana Kwa kuunganisha Nchi za Burundi,Rwanda,Uganda,DRC Hadi Zambia via Sumbawanga na Tunduma).

6.Tabora-Kahama-Misasi Junction-Mwanza
(Hii inaunganisha Mikoa 3 ya Tabora,Shinyanga na Mwanza Kwa kufungua Uchumi maeneo inakopita)

7.Ifakara-Madeke-Njombe
(Hii inaunganisha na kufungua Uchumi wa Mikoa ya Njombe, Morogoro na Mbeya).

8.Iringa-Ruaha NP
(Hii itafungua Kitovu Cha Utalii wa Kusini)

9.Njombe-Ludewa-Mbamba Bay.
(Hii itafungua Barabara za mwambao wa Ziwa Nyasa na kuwezesha Uchumi wa Makaa ya mawe na Chuma huko Liganga na Mchuchuma na kuipaisha Bandari ya Mbamba Bay)

10.Kilwa Masoko(Kilwa)-Nangurukuru-Liwale.
(Hii ni muhimu sana kuifungua Mkoa wa Lindi Kiuchumi)

My Take
Baadhi ya Barabara sijazitajia ila natambua kwamba Kuna Wakandarasi wanaendelea na kazi.

Chonde chonde Serikali wekeni uzito wa kipekee kwenye Barabara tajwa hapo Juu na ikiwezekana zote zijengwe Kwa Mikataba ya EPC+F Ili kuharakisha utekelezwaji wake.

Mods ikiwezekana fanyeni kuwa tag Wizara ya Ujenzi.
Post yako inaonyeshae umebobea Nyanda za juu kusini ila hili tatizo liko sana mikoa mingi,nchi kubwa sana hii bro kuna sehemu utajiuliza hawa viongozi wanawaza nini haeapeleki lami huko
 
Back
Top Bottom