big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 398
- 1,059
Wale jamaa wanapiga pesa kwenye parcel,,kuna mjuba niliwahi msikia kwenye hiyo 2,500,000 ya maingizo,bosi anabaki na 1,000,000 baada ya kutoa kila kitu50x50,000 = 2,500,000 hii ni kwa siku.
2,500,000 x 280 = 700,000,000 (tume assume lina fanya kazi siku 280 tu kwa mwaka).
Chukua 700,000,000 x miaka 3 unakua hujarudisha hela ya kununulia? Yani hapo weka na hizo gharama zote kuanzia matengenezo nk nk!
Na hapo bado parcel zinaweza ingiza tena hata 1,000,000 au kasoro kidogo ukipiga hesabu hapo tufanye wastani wa 1.5m kila siku gari inaacha benki baada ya matumizi mengine 1.5m * hizo siku 280 (ulizosema) = 420m kwa mwaka mmoja,,,mara miaka miwili tu anaingiza 840m tayari hela yake isharudi miaka inayobaki ni faida tu mpaka pale gari linapoanza ku generate hasara
Hii biashara ukiweza kudeal vizuri na uwizi na unaweza kuwateka watu ubebeaji wa parcel basi wew utajiri mkubwa unakuwa karibu yako kama tanesco na mgao wa umeme
Sent using Jamii Forums mobile app