UNIVERSE
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 587
- 557
Duh!treni ya mwendokasi sio km unadhani za umeme ni kwamba sg ni reli yenye upana na ubora ya kufanya treni isafiri kwa mwendo zaidi kuliko na hizi za sasa hapo inategemea na aina ya treni serikali itakayo nunua. sio kwamba ni treni za umeme km ethiopia kwanza zile hazimii mataruma ya reli km hz