Wasafirishaji Abood, Alsaid, BM, Champions na watu wa malori mjiandae kisaikolojia

Sisi wa Mdaula, Chalinze, Bwawani, Ubena Zamozi na maeneo mengine ya katikati bado haya mabasi tuna yahitajia ni sawa na MWENDO KASI UPO MJINI lakini daladala nazo zina saiidia.
Hata mwendokasi phase zote zikikamilika hizo dldl zitaondoka. Traffic kubwa ni dar Moro. Ila uko sawa mkuu
 
Kwa hii nchi naweza kuwaambia wasiwe hata na hofu biashara itafanyika tena zaidi ya hapa.

Treni hizo zinaweza kuja zikakosa umeme au zikikwama porini mabasi yatakuwa yamepata biashara nzuri.
Tatizo la watanzania ndo hilo,yaani wewe unachokifikiria ni kuona hatufanikiwi ktk jambo hilo
 
Angalia marudio ya uzinduzi umsikilize mkurugenzi anavyofafanua kwa mifano specifications na sifa za hiyo treni. Inaoption zote umeme ukisumbua katikati ya safari unachange mode inaendelea kama kawaida Bila umeme pia Kuna macontroller wanaoweza kuiwasha kuizima kuongeza speed hata kupunguza nje ya huyo anaeendesha na wanakuwa dsm hivyo unauhakika wa usalama muda wote
Mkuu wewe ni Mgeni kwenye Nchi hii? tangu tupate Uhuru umesikia Maneno mangapi kutoka kwa watawala hata Leo upoteze muda wako kuwaamini....
Amini baada yakuona kilichofanyika sio Povu zao!
 
Siku utakapoambiwa nauli ya Dar-Moro ni 45,000 kwa treni ndio utakapolikumbuka abood lipo wp! Nashangaa mkisema mtu alale Moro kazi afanye dar hata km abood lingekuwa linafika ndani ya saa 1 isingewezekana sababu ya gharama yake ni wachache wangemudu.
Inategemea kwa nini hujiulizi treni posta ubungo maziwa 400 na daldala 400.hat tofauti ili iwe na ushindani itakuwa kidogo nadhani
 
Treni haipiti mjini,maporini,aboud na wenzie watawapata wengi wanaoshukia njiani,au ambao watahitaji usafiri wakati treni ilishaondoka,au wale ambao hawahitaji kushushiwa treni inapoishia
Abood mimi ndio huwa bus langu hata km litajaa masaa sita nitalisubir. Nimepanda zaidi ya mara kumi na kitu, asilimia tisini na tano ya abiria ni dar Moro
 
Hapa box halihusiki, mfanyabiasha yoyote lazima aforecast changes zozote na athari zake zote kwake.
Mfano serikali inaweza kubadili policy kuongeza lifespan ya barabara ya zake kwa sababu Kuna alternative ya cargo transportation.
Mabadiliko yoyote tena Kumbuka kutakuwa na mass transportation hivyo upungufu wa abilia kwao. Kama kwa siku abood anasafirisha bus 20 kwa siku basi zinaweza kushuka hadi kumi. Lazima kuanticipate this possibility of change
Sawa itapungua lkn sio kukosa biashara kbs.
 
Mkuu wewe ni Mgeni kwenye Nchi hii? tangu tupate Uhuru umesikia Maneno mangapi kutoka kwa watawala hata Leo upoteze muda wako kuwaamini....
Amini baada yakuona kilichofanyika sio Povu zao!
Ukishaona sio imani tena hiyo. Hapa tunaongelea possibilities kama kinachosemwa kikiwa halisi maana na mafungu ya pesa yameshafunguliwa....
 
Kila changamoto humfanya mtu apate ubunifu mpya. Na inaonekana kama una wivu hivi katika maelezo yako.
Hongera kwa taifa kama tutafika huko lakini usianzishe fikra za hofu kwa watu. Hayo ni mawazo ya mtu aliyekata tamaa
 
Hizo treni Zitaleta mabadiriko chanya kwa huu umeme wa dakika 5 upo dakika 10 umekata?

Hakuna mtu atakayenda hizo makitu hadi umeme uwe wa uhakika.

Mabadiliko chanya yote yanamadhara kwa upande mwingine...
Kama ndani ya miezi 30 ijayo tutakuwa na hiyo treni basi watu wa mabus dar Moro/Dodoma wafanye restructuring ya biashara zao.

Kama tunaenda kuwa na reli yenye Uwezo wa kubeba malaki ya Tani watu wa malori hawana jinsi zaidi ya kurestrcture biashara zao.

Ila cha ajabu Kuna watu wanadhani hizi ni story au ndoto siku wakiona treni inapita kama mkuki na waliambiwa mapema utasikia maandamano ya madereva.

Ushauri boresheni huduma zenu mfano free WiFi, bei Nzuri, muanze na kutugawia soda, wanaweza kuboresha routes za nje ya reli na tanzania itakua exponentially.
Kama mimi nakuja Moro kwa treni basi nakuta express ya abood au pm Moro kilosa au ifakara sio zile coaster zinazojaza masaa sita. Watu wa malori pia wajipange...
Mabadiliko hayapingwi Bali yanakumbatiwa....
 
Kwa jinsi vituo vya treni Dar Moro vilivyo hilo treni haliwezi kimbia spidi 160 itakua spidi ya kawaida tu..labda Dom kuelekea Manyoni
 
Tatizo la watanzania ndo hilo,yaani wewe unachokifikiria ni kuona hatufanikiwi ktk jambo hilo
Sasa wewe ulitaka niwe na wazo sawa na lako! Unaumwa?

Kama kila mtu akiwa na mawazo ya kufanana na mwenzake changamoto zitatoka wapi?
 
Mfano Mzuri kwa DAR ni basi za mwendokasi....wameondoa Daladala mwendokasi wenyewe watu wanakaliana kama mizigo Abiria wanakaa vituoni masaa....
Huwa wanakosea mipango katika utendaji ila mipango katika usemaji huwa ni yenye kupendeza sana
 
Kuna njia mbili ya kuliangalia hii. Njia ya kwanza ni ambayo wewe umeitumia ndo typical ya watanzania wengi. Lakini hujawaza kuhusu njia ya pili ambayo ni pengine itaongeza idadi ya mizigo inayosafirishwana pengine idadi ya abiria wanaosafiri kwenda kutafuta fursa za uwekezaji mikoani itaongezeka kwa hiyo demand ikiongezeka bado mabasi yatahitajika na maroli pia...Fikiria hii ni kama fursa ya kuongeza cargo katika bandari ya Dar na usiifikirie kama ni kitu kimeletwa kuwamaliza wenye malori..Cargo ikiongezeka babndari ya Dar bado wenye malori watapata tu share yao ya mkate
 
Mabadiliko chanya yote yanamadhara kwa upande mwingine...
Kama ndani ya miezi 30 ijayo tutakuwa na hiyo treni basi watu wa mabus dar Moro/Dodoma wafanye restructuring ya biashara zao.

Kama tunaenda kuwa na reli yenye Uwezo wa kubeba malaki ya Tani watu wa malori hawana jinsi zaidi ya kurestrcture biashara zao.

Ila cha ajabu Kuna watu wanadhani hizi ni story au ndoto siku wakiona treni inapita kama mkuki na waliambiwa mapema utasikia maandamano ya madereva.

Ushauri boresheni huduma zenu mfano free WiFi, bei Nzuri, muanze na kutugawia soda, wanaweza kuboresha routes za nje ya reli na tanzania itakua exponentially.
Kama mimi nakuja Moro kwa treni basi nakuta express ya abood au pm Moro kilosa au ifakara sio zile coaster zinazojaza masaa sita. Watu wa malori pia wajipange...
Mabadiliko hayapingwi Bali yanakumbatiwa....
Huu mradi mpaka uje uanze kazi ni lini??
 
Back
Top Bottom