Wasafi TV inatakiwa wajitafakari upya

Mara ya mwisho ulisikia lini EATV/Radio wamefungiwa au kupigwa fine na Tcra?
Kama hujaelewa kitu sio lazima kuchangia!!mimi nilikuwa namjibu jamaa kuwa kama kipindi kiko live, na mgeni mualikwa/mtangazaji akatoa lugha isiyostahili hana ujanja wa kuliondoa neno hilo, kwani linakuwa tayari limeshasikika kwa wasikilizaji/watazamaji, tofauti na kipindi kinacho kuwa recorded, hapo wanaweza ku edit na kulifanya hilo neno lisisikike!!
Naona umekuja na kitu kipya kabisa !! Kwani jamaa alisema kwanini wasingefanyia editing hilo tusi lisisikike?sasa kipindi kiko live utalifanyiaje editing?!!
 
Radio Tanzania wapo tangu miaka ya 60, wanaenda live na hawajawahi kufanya huu ujinga.

Sasa hawa wa juzi sioni hata wanahitaji kujitetea na kuaminiwa...waadhibiwe tu, na tena kama inawezekana wazuiliwe vipindi kuruka live.
Mimi sio kama nawatetea wasafi tena nadhani Tcra, wanaiogopa labda kutokana na wamiliki wake kuwa ni watu maarufu nchini, ilitakiwa ifungiwe kabisa maisha, kwani ina muda mfupi sana lakini makosa ya kimaadili yamekuwa mengi sana!!na hiyo inatokana USERA mwingi wa waongoza vipindi, sio waandishi wa habari hivyo hata miiko yake hawaijui!!na ndio maana hata hao wageni wao kila mala ndio wanaleta shida, kutokana na kutowapa muongozo wa maneno yenye staha ndio yatumike!!!
Nilichosema ni kama kipindi kiko live huwezi uka edit tusi!!
 
ok naomba kujua kuna ile unakuta kama anayehojiwa anatoa matusi wanapiga kialarm flan hv hii nayo huwezi fanya kwenye live show??
 
Yaani hapa kama mpo sebuleni na Watoto na Wageni wako wa heshima mnaangalia unaweza ukashtuka ukapiga meza ya chakula teke.
Yaani uko sebuleni na unafungua channel kama Wasafi Tv, na E Tv ukiwa na watoto na wageni utakuwa hufikiri vizuri kiongozi.

Vv
 
Kama hujaelewa kitu sio lazima kuchangia!!mimi nilikuwa namjibu jamaa kuwa kama kipindi kiko live, na mgeni mualikwa/mtangazaji akatoa lugha isiyostahili hana ujanja wa kuliondoa neno hilo, kwani linakuwa tayari limeshasikika kwa wasikilizaji/watazamaji, tofauti na kipindi kinacho kuwa recorded, hapo wanaweza ku edit na kulifanya hilo neno lisisikike!!
Naona umekuja na kitu kipya kabisa !! Kwani jamaa alisema kwanini wasingefanyia editing hilo tusi lisisikike?sasa kipindi kiko live utalifanyiaje editing?!!
Natuma salamu kupitia Crdb,kibosho na Tunduma.

Ujumbe wa leo: Motivational speakers Ni hatari
 
Ukiwa mfuatiliaji mzuri utagundua kuwa wasafi tv ni mojawapo ya vituo ambavyo vinaongoza kufungiwa au kupewa maonyo na TCRA.

Hawa jamaa huwa hawazingatii kabisa misingi ya urushaji matangazo na ndiyo maana maonyo yamekuwa mengi sana.

Nina imani kama kusingekuwa na watu wazito kwenye hii TV basi ingeshafungiwaga muda tu.

Hawa watangazaji wana weledi kweli wakufanya hii kazi??View attachment 2080992
TCRA wenyewe nao wamepwiyanga, wanatakiwa wawaombe msamaha Wasafi ila ndio hivyo kwa mila zetu mkubwa hakosei.
Screenshot_20220115-161407_Instagram~2.jpg
 
WTF!!

What was she trying to say?!

Ila kilichonishangaza ni kusikia hiki kipindi kilirushwa March 2021... TCRA walikuwa wapi muda wote huu?! Au walikuwa kwenye COVID-19 Break?!
Itakuwa
 
Back
Top Bottom