Wasafi Mjipange kwanza kabla ya launch Website yenu

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,804
Sababu Alizo toa Boss wa WCB kuhusu ugumu wa kudownload music kutoka kwenye website yao haina mashiko

kwani ilitakiwa wafanye pre testing kwanza kabla ya kuingia sokoni.Mpaka hivi sasa bado huwezi kununua music from this site,

Kibiashara ni kitu kibaya sana Boss

Ila Hongera sana kwa uthubutu
upload_2017-3-13_9-6-38.png
 
Sababu Alizo toa Boss wa WCB kuhusu ugumu wa kudownload music kutoka kwenye website yao haina mashito

kwani ilitakiwa wafanye pre testing kwanza kabla ya kuingia sokoni.Mpaka hivi sasa hali bado huwezi kununua music from this site,

Kibiashara ni kitu kibaya sana Boss

Ila Hongera sana kwa uthubutu

I total agree, why the rush? kwa mteja kuwa dissapointed na kurudi tena kwenye website sio rahisi, ila mara ya kwanza akitembelea na kuikuta ipo poa inakuwa vyema sana!
 
Sababu Alizo toa Boss wa WCB kuhusu ugumu wa kudownload music kutoka kwenye website yao haina mashiko

kwani ilitakiwa wafanye pre testing kwanza kabla ya kuingia sokoni.Mpaka hivi sasa bado huwezi kununua music from this site,

Kibiashara ni kitu kibaya sana Boss

Ila Hongera sana kwa uthubutu
View attachment 480234
Kwamba site huwa inakuwa down au... Maana watu wengi wananunua bila sheeda
 
Nina imani ujumbe wameupata wataufanyia kazi. Mi binafsi imenisumbua hadi sasa kununua sijaweza.
 
Wengine mbona wanasema wananunua kiurahisi!
Ila binafsi nimeingia nikashindwa!
Labda angeifanyia promo na kuweka vitutorial vidogo vya matangazo nafikiri ingekuwa njema sana!
Kwa 1800 nimepata track 6 fasta fasta na naendelea
 
Mimi mwenyewe nimejaribu sana jana kununua ila nikienda menu ya airtel money inazingua namna ya kununua, angeifanya iwe rahisi zaidi ili wengi tumuunge mkono. Ni idea nzuri na kama watanzania tutaonesha ushirikiano basi kwa mara ya kwanza wasanii wataanza kula jasho lao, ukitoa lijimbo li baya hatudownload ukitoa nyimbo nzuri unakua milionea.
 
hapoa kaka itakua unaisikia nyimbo after download so jimbo baya zuri yote utakua unalipia
 
Sababu Alizo toa Boss wa WCB kuhusu ugumu wa kudownload music kutoka kwenye website yao haina mashiko

kwani ilitakiwa wafanye pre testing kwanza kabla ya kuingia sokoni.Mpaka hivi sasa bado huwezi kununua music from this site,

Kibiashara ni kitu kibaya sana Boss

Ila Hongera sana kwa uthubutu
View attachment 480234
mambo.yakawaida tu haya chukulia watu laki 9 kila mmoja anataka kudownlod ndo mana mtandao unasumbua
 
mambo.yakawaida tu haya chukulia watu laki 9 kila mmoja anataka kudownlod ndo mana mtandao unasumbua
wewe kwani hii issue Tanzania ndio tumeanzisha,Mbona USA watu wanadownload millions in a minute,ajipange tu ila there is no excuse kiivyo
 
Back
Top Bottom