Wasafi media imefikisha mil 1 subscribers ya watazamaji YouTube na kuwa ni media pekee ya tz yenye subcriber wengi kuliko media yoyote ikiwa imeanzishwa muda si mrefu.
Hao huwa hawajajiweka kuchangamsha channel yao, ipo inaboa boa. Hata kwenye Instagram hawaitangazi, wamekazania huko ambapo hawaingizi pesa badala ya Youtube.