Please mod usiuunganishe Uzi wangu.
MTAZAMO WANGU WA SHOW YA JANA
Jana wasafi festival waliiteka dar nzima na east Africa kwa ujumla.kiukweli waliofanya vizuri ni wengi Sana siwezi kuweka wote.Hapa nitaweka list ya wasanii top 7 niliyoona wameperform vizuri
1. Diamond
Huyu ndo alikuwa ndio man of the game nimependa namna alivyoingia kwenye stage was massive,energy na creativity aliyoionesha pamoja na live band aliopiga sauti tamu nikatamani ngoma zote apige liveband. overall performance was great mashabiki kiasi ambacho walimpigia makofi na kumshangilia pamoja nakumtaka arudie performance ya wimbo wake wa "babalao" na "yope remix" .
Nimeona pia kwenye tweet amepata pongezi mbalimbali kutoka kwa baadhi ya viongozi walioangalia show mashabiki wa nchi tofautofauti walioangalia kupitia DSTV na YOUTUBE live.Mond amethibitisha kweli yeye ni baba lao.
2. Mzee wa Bwax
Huyu ni msanii wa kisingeli maarufu alikichafua ile mbaya show yake kifupi ilikuwa bomba sana.Huyu kwangu kashika no 2 yaani amemfunika mpaka Wizkid na hii inaonesha siingeli inapendwa Sana.
3. Proffessor Jay
Nimeshindwa kumuelezea huyu jamaa kiukweli wasanii wa hip-hop wanamengi yakujifunza kwa huyu jamaa in term of performance
4. Nature,Chid Benz
Atoi ngoma lakini balaa lake kwenye stage si la mchezo ameitendea haki jukwaa la wasafi festival.chid Benz naye alikuwa Moto wote nimewaweka nafasi ya nne
5. Dulla Makabila
Kiufupi wasanii wa kisingeli wametisha sana dulla aliperform vizuri I can't explain.
6. Mboso,Twanga Pepeta
Nimependa ubunifu wake kwenye stage na alikuwa calm akiimba bila kutumia nguvu au kutoka jasho na mapokezi mazuri alikuwa anayapata kwa mashabiki.Twanga wameonesha ukongwe wao vizuri kwenye sector ya mziki wa bendi walipokelewa vizuri na mashabiki na waliofanya show vizuri Sana.
7. Wizkid,Rayvanny
Naye alifanya vizuri alikuwa ana vibe na reaction nzuri alipata kutoka mashabiki kiasi ambacho shabiki mmoja akamvamia kwenye stage na kumkumbatia.Rayvanny pia alifanya vizuri Sana alicontrol jukwaa na kuimili mashabiki vizuri kingine kilichonivutia zaidi ni VOICE YAKE was fantastic.
WALIOFANYA KAWAIDA
Nimewaona Hawa tu wawili.
1. Domo Kaya.
2. Lavalava.
WALIOFANYA VIBAYA
Nimewaona Hawa tu pekee.
1. Amber lulu
2. Gigy Money
3. Queen Darlin.
MAFANIKIO YA SHOW
Japo wasafi wameweka viingilio vikubwa Kama vile sh 10000, 500000 backstage na mil 1 kwa VVIP.Lakini walijaza Sana sehemu zote na waliiteka Sana Tanzania pamoja na nchi za nje cos iliangaliwa na watu wengi sana na baadhi ya watu wakatumia hiyo fursa kufanya biashara kilipisha kwenye vibanda kwa ajili ya kucheki show ya wasafi festival.
Jambo lingine nililolipenda ni stage ilikuwa ni nzuri, kubwa na imedegniwa kwa ubunifu mkubwa nimependa kuwepo kwa lighting nyingi na Moshi na kubadilika kwa rangi wakati wa performance ya msanii.
Pia wasafi festival imeweka record yakuangaliwa na watu MILLIONI 1.2 live kupitia YouTube ya channel ya WASAFI MEDIA kuliko tamasha lolote la Tanzania.
CHALLEGES
1. Kuna watu wengi walilipa ticketi ya kuingia kwenye show lakini walishindwa kuingia kwenye show na gati lilifungwa Kuna namna wanatakiwa WASAFI wafanye kwa Hawa watu.
2. Mabodiguard
Hawa majamaa wameshindwa kuwatreat vizuri mashabiki especially wakati wanaingia kwenye show.Wafanyie hili jambo kwa faida ya mashabiki.