Mkuu nashukuru sn kwa kuandika mafungu yote haya ya Hawa ndugu zetu wanapojengea hoja ya kunena kwa lugha!
Wasome upya hapo taratibu na wataelewa!
Wasisingizie Upako, Moto Wa maombi au Roho mtakatifu! Huyo anaewaongoza Ktk hili ni Roho chafu na si Roho Wa Mungu! Kwasababu km Roho Wa Mungu angewaongaza Ktk kweli yote! Kwanini maandiko yako wazi kabisa tena yanasema Kua Hawa si Wagalilaya Mbona wanaongea Kiarabu, Libya etc?! Alafu eti mtu anajitetea kwa kupiga mikelele hovyo milugha isiyoeleweka eti kunena kwa lugha au kajawa na Roho mtakatifu! Mshindwe kwa jina la Yesu na Roho zenu chafu hizo!
wakatoliki hawachukiwi ila huwa wanaelimishwa kuhusu kweli ya biblia na ndo maana huwa wanakasirika kwa sababu ya kwenda kinyume na biblia inavyosema kama ibada za sanamu,ubatizo,maombi ya wafu,na mengineyo mengi ndo maana huwa wakielezwa ukweli wanakasirika...
Hapa ni kila mtu kusimama na IMANI yake DINI si chochote sio lolote.
Sgjmjt kaq sholind kamiwomi shugq ndigmbo hkhg tiko tiko tungulu wo! Wo! Puk.shanda baba korooro! Ameeeen! Ndio maombi gani hayaaaaaaaaa!
Hapa ni kila mtu kusimama na IMANI yake DINI si chochote sio lolote.
tuhuma za wasabato zimekuwa nyingii sana siku hizi..wabadilike basi
tuhuma za wasabato zimekuwa nyingii sana siku hizi..wabadilike basi
Hatuna tuhuma yeyote ile! Nyie ndio mbadilike!
Kwa hakika mimi sio msabato ila hili kanisa linafundisha ukweli wa bible tofauti na makanisa mengine wanaojiita wakristo huku wakiikanyaga mafundisho ya biblia.
Tatizo lao wanasoma mstari mmoja, wanaukariri huo, basi inakuwa vurugu tupu na makelele kibao!
ok ndugu Ntunzu naomba kuuliza swali kwa ruhusa yako nje ya mada
umenitukana bila sababu kwenye pm sitamani ucomment hata post yangu
Kwa asilimia kubwa wasabato wanafuata Agano la Kale.
Ukweli ni juu yako wewe na unachokiamini..Kweli kwako inaweza isiwe kweli kwangu....
Sasa kama nyie mnafanya mambo yenu kama Wasabato, mambo ya Wakatoliki na Walokole yanawawashia nini..???? Kaa kimya fanya yanayowahusu....
Karibu!
Mkuu nimeiona hii, duh! halafu eti akitoka hapo mwanamke ambaye hajazaa miaka 10 anapata mtoto........ mmmmmmh!!!! watazaa nyoka shauri zao!!!!!!!!!!!!
Nimekukomesha na ukweli ili uieshimu ndoa yangu.tafuta mume huko kwangu kumejaa sitaki shobo.