Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.

Mkuu Blueband hoja ya pleo hii hapa
 
Last edited by a moderator:

Matthew 3:16
[SUP]13 [/SUP]Then cometh Jesus from Galilee to Jordan unto John, to be baptized of him.
[SUP]14 [/SUP]But John forbad him, saying, I have need to be baptized of thee, and comest thou to me?
[SUP]15 [/SUP]And Jesus answering said unto him, Suffer it to be so now: for thus it becometh us to fulfil all righteousness. Then he suffered him.
[SUP]16 [/SUP]And Jesus, when he was baptized, went up straightway out of the water: and, lo, the heavens were opened unto him, and he saw the Spirit of God descending like a dove, and lighting upon him:


Nimeweka hiyo red kukuonyesha ubatizo unaokubalika kibiblia. Ukisoma fungu la 13 hapo juu, utaona kwamba Yesu alipobatizwa katika mto Yordan hatimaye anatoka ndani ya maji kama ingekuwa amemwagiwa maji kichwani hiyo lugha iliyotumika hapo isingekuwa hivyo maana huwezi kuingia ndani ya kikombe au kibuyu. Hapa kumetajwa mto wa Yordan, hivyo basi Yesu aliingia ndani ya maji ya mto akabatizwa humo katika maji mengi! HUU NDIYO UBATIZO ALIOBATIZWA YESU AMBAO NI KIELELEZO KWA WAFUASI WAKE.(WAKRISTO)

Kuna watu wanaruka moto, wanapita chini ya bendera zao, wanaingia makanisani wakiwa uchi wake kwa waume, wanamwagiana vikombe vya maji kichwani n.k. wakiita ubatizo halisi, la hasha! huo si ubatizo wa Kristo! Hivo ninachagua kueleza ubatizo huu mmoja kwa vile ndio ubatizo kielelezo kwa Wakristo wote!
 

Ha ha ha ha haaaaaa. Hapo red ndo viongozi walivyokukalilisha? ulikusudia kumtaja William Miller ama James White?. Na ngoja nikuulize swali, unamfahamu mwanzilishi kwa upande wa dhehebu lako ama humfahamu. And also hebu kuwa muwazi, mbona mwandiko huu ni kama wa bwana tedo maana naye hupenda kuandika jina la Ellen G White kama Hellen, au ni id ya pili au umeiga uandishi wa majina hayo toka kwa tedo au mna undugu?.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Blueband Nashukuru sn Lkn sisi km wanafunzi Wa Yesu tuna wajibu Wa kuhubiri habari njema!
 
Hivi mkuu kwanini huwa hamsherekei pasaka(kufufuka kwa bwana Yesu),embu funguka hapo
 

Ni yeye tedo ana ID mbili.
 
Last edited by a moderator:
Je wasabato hawaamini ktk UTATU HASA ROHO MTAKATIFU KAMA WALOKOLE WANAVYO TUTUHUMU?

Cc: Blueband Basluma Original etc all
 
Last edited by a moderator:
Hivi mkuu kwanini huwa hamsherekei pasaka(kufufuka kwa bwana Yesu),embu funguka hapo

Pasaka wasabato wanasheherekea kwa kunywa na kula mwili wa BWANA kiimani kama alivyoagiza na sio kwa kula pilau,kuku na bia.katika ile sinema ya YESU uliona YESU akila ubwabwa? Na kwenye biblia kuna sehemu yoyote imeandikwa kwamba pasaka ni mwezi wa nne? la hasha bali ilitungwa na papa mwaka.
 
wasabato sio wakristu,ebu watueleze wako dini gani,maana kuna watu wanasema ni wapagani

niwakristu, ila sio wakristu kwa hoja ya nani achinje au kwenye umoja wa wcc/ecumunicle/ mama wa makahaba
 
Hivi mkuu kwanini huwa hamsherekei pasaka(kufufuka kwa bwana Yesu),embu funguka hapo



Ktk bible hakuna tarehe Maalum ya PASAKA na pia tunasherekea pasaka km kumbukumbu ya Bwana Yesu alivyotuagiza tufanye! Lkn kwa Mwaka tunafanya Mara 4 kila robo ya Mwaka twafanya hivyo kwasababu hakuna Tarehe maalum Ktk bible!

Cc: Basluma Original na Blueband kwa nyongeza Zaidi!
 
Last edited by a moderator:

waldensia
 
Last edited by a moderator:
Hivi mkuu kwanini huwa hamsherekei pasaka(kufufuka kwa bwana Yesu),embu funguka hapo

Sisi tunaadhimisha hivi pasaka(kama Yesu alivyoagiza) Matthew 26:26-28 And as they were eating, Jesus took bread, and blessed it, and broke it, and gave it to the disciples, and said, Take, eat; this is my body. And he took the cup, and gave thanks, and gave it to them, saying, Drink ye all of it; For this is my blood of the new testament, which is shed for many for the remission of sin. Na pasaka iliadhimishwa kuelezea ujio wa Yesu duniani na mauti yake. Na hivyo sisi tunakumbuka mauti yake kwa kunywa divai(kama damu ya Yesu) na mkate(kama mwili wa Yesu). Ile nyingine ya kipagani wanayoiita easter sisi hatuna sehemu nayo maana kiukweli ni sikukuu ya kumbukumbu ya mungu ishtar. Kumbuka pia, sikukuu nyingi za kidini leo, ni matokeo ya upagani uliovikwa vazi la ukristo ili kuficha maovu yao.
 
Mbona hujamalizia mwaka,pili kwani kula dhambi au kunywa?
 
 
Je wasabato hawaani Ktk UTATU HASA ROHO MTAKATIFU KAMA WALOKOLE WANAVYO TUTUHUMU?

Cc: Blueband Basluma Original etc all

Katika mafundisho ya msingi ya waadventisata wasabato, tunaamini katika roho mtakatifu. Na msingi wa imani unaoeleza roho mtakatifu ni msingi wa tano unaosema hivi.
God the eternal Spirit was active with the Father and the Son in Creation, incarnation, and redemption.

He inspired the writers of Scripture.

He filled Christ's life with power.

He draws and convicts human beings; and those who respond He renews and transforms into the image of God.

Sent by the Father and the Son to be always with His children, He extends spiritual gifts to the church, empowers it to bear witness to Christ, and i
n harmony with the Scriptures leads it into all truth.
 
Last edited by a moderator:
msalipo msiwe kama wanafiki wanaosali sara ndefu huku wakipayukapayuka njia panda za barabara. Bwana mungu ahimidiwe.

wekeni vifungu vya biblia. Ukitaka kuelewa vizuri usisome mstari mmoja tu. Jaribu kusoma sura nzima ndiyo utaelewa zaidi
 
Hayo mageuza aliyafanya kabla ya kukamatwa na kuuwawa ambapo aliezea tukio zima na atakae msaliti,ni wapi imeandikwa pasaka ni kusherekea ujio wake na mateso yake?,pili ikiwa wayahudi walisherekea pasaka kwa kuchinja mwanakondoo kwa ishara ya damu Je sadaka ya Yesu ni ipi?,tatu swali langu hukumalizia kujibu yaani ufufuko wa Yesu Je mnaamini ilo?
 

Asante kwa majibu yako!

Je wasabato wanaabudu Siku au wanatambua Kua Siku zote ni za Bwana? Au wanamuabudu Yule alieziumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo na chemichemi za Maji?
 
niwakristu, ila sio wakristu kwa hoja ya nani achinje au kwenye umoja wa wcc/ecumunicle/ mama wa makahaba

Yani wasabato wanawachukia wakatoliki kuliko hata lucifer si bure hawa wametumwa na bosi wao lusiferi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…