Binti Sayuni
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 367
- 54
Ndugu we mbona si mwelewa Neno la Mungu haliwezi kubadilishwa na mtu yeyote na
Bwana Mungu sio kigeugeu eti kwamba leo anakwambia hiki na kesho anabadilisha sio bhana kama unavyofikiria wewe jaribu kuwa mwelewa,
Balikiwa..
Hivi hakuna Biblia za Kiswahili?
Naomba kueleweshwa hivi sabato ni Jumamosi ? Na ni kila anayesali siku hiyo ni msabato?
Naomba kueleweshwa hivi sabato ni Jumamosi ? Na ni kila anayesali siku hiyo ni msabato?
mkuu wasabato ni kweli wanafundisha vizuri sio kama hawa wasanii waliofanya makanisa miradi ya kutapeli watu na uganga
Wakristo gani hawaruhusu kunywa pombe kidogo bila kulewa?
Hawali kitimoto eti ni haramu wakati kila kilichoumbwa na mungu mwanadamu usikiite haramu?
Hawabatizi watoto?
Hawavuti tumbaku hata kama ni dawa?
Hawaabudu siku ya j2?
Hawaneni kwa lugha?
Hawafungishi ndoa za wajawazito?(wanakupima kutumia dr wao kama mwanamke ni mjamzito kabla ya kukufungisha ndoa)
Wana idara nyingi za elimu za kukuza mtoto mpaka awe mkubwa kama vile taasisi ya elimu na sio kanisa?
Hawa hawawezi kuwa wakristo labda ni waislamu.
Naomba kueleweshwa hivi sabato ni Jumamosi ? Na ni kila anayesali siku hiyo ni msabato?
mh!haya dada!
Naomba kueleweshwa hivi sabato ni Jumamosi ? Na ni kila anayesali siku hiyo ni msabato?
Hivi jamani hamjui Wasabato walitengwa huko Marekani maana hawakuamini dhana ya Utatu Mtakatifu....??? Mpaka kahaba Hellen G White anaaga dunia alikuwa haamini uwepo wa utatu Mtakatifu...
Walikuja kuamini uwepo wa Utatu Mtakatifu kwa shingo upande miaka ya 1900....Ndipo wakakubalika kama ni dhehebu...
Hili Dhehebh lilikuwa ni kundi la Wanaharakati waliolaaniwa...
SDA ni moja ya strange religion on Earth.............
The four Cult Religion
Seventh Day Adventist
Jehova Witness
Mormon
Christian Scientist
Sasa nyinyi mnatofauti gani na Mafarisayo...???? Nyinyi ni typical Mafarisayo..
Kama Sabato ni Jumamosi sawa, naomba ufafanuzi wa Law 25:3-8. Barikiwa
Utumwa mwingine ni kazi kuutambua!.