Nashukuru sana na nimeappreciate the way ulivyonijibu ila naomba usome Mwanzo:24:22; 28-47 halafu unisaidie ina maana gani?
Hakuna walokole wakujibu hizi tuhuma..Yesu aliposema kunena kwa lugha hakumaanisha ndo uongee madude yasiyoeleweka alimaanisha kama wewe mchaga basi uweze kuongea kimasai na uwahubiri wamasai waelewe lakini Mimi ninachokiona jamaa huwa wanaongea madudu hata ukimwambia aludie kuyaongea na yanamaana gani hawezi sema zaidi ukimtazama kwa haraka huwa kama kapandwa na mapepo
Mimi ntakujibu swala moja!
Hilo la kunena kwa lugha ningeomba walokole waje hapa walitetee
kimaandiko!
Nataka nikujibu swala la Wewe unayoiita kashfa! Kwanza kashfa ni nini?
Au ni pale ninapokufunulia KWELI then Wewe ndio useme kashfa? Au kashfa
ni lugha mbaya za matusi dhihaka juu ya Imani ya mwenzako? Na Je
wasabato wanafanya dhihaka na kutukana Imani za wengine? Au wanasema
KWELI YA MUNGU?
Mkuu umetoa mafungu Ktk kitabu cha Wakorintho Wa kwanza 14:2 na Mark 16:17
Hapa ni lugha gani inayozungumzwa? Ni lugha isiyoeleweka na wanadamu wengine au?
Nafikiri una hoja nzuri! Ebu tiririka tushare wote!
And He opened their understanding that they might comprehend the Scriptures. LUKE 24:45
Sasa na Wewe fafanua Ili ueleweke! Sio uweke Mstari tu then utulie
Mkuu hao wanaochukia wengine sio Waadventista Wasabato bali ni mfano..
Biblia inasema "Na kondoo wengine si wa zizi hili, nao watakapo isikia sauti yangu wataungana na wa zizi hili"
Sasa huyo anayewachukia wengine sio....
kizaizai;
Biblia yenyewe inasema kila andiko lenye pumzi lafaa kwa mafundisho na ndo maana wasabato hutumia kila neno la biblia ili kuifundisha jamii yann sasa we kuwatuhumu????
Achana na hizo injili nyepesi za wachumia Tumbo
Ebu angalia hapa!
John 10:16
And other sheep I have which are not of this fold,; them also I must bring, and they will hear my voice; and there will be one flock and one shepherd.
Mkuu Yesu mwenyewe anasisitiza umuhimu Wa Kua na Imani moja na Kundi moja! Kwahiyo usije ukajidanganya Kua kila mtu abaki Ktk Imani yake!
Wasabato ni genge la wahuni,wana mambo kama ya kiislam,eti elen g white ndie nabii wa mwisho kama mtume alivyo wa mwisho. Kwao mtu yeyote anaeitwa nabii baada ya white ni wa uongo, hawasomi biblia,wanasoma vitabu vya nabii white aliyewahi kusema watu weusi ni zao la shetani.
Wafuasi wa elen g white na wafuasi wa mtume wote akili yao ni moja.
Mkuu kuna lugha za wanadamu na za malaika 1kor 13:1. Sasa Roho mt anenaye kwa ajili ya kuijenga nafsi ya mtu mmoja unataka aongee kisw au kiingereza ndipo ujue kua mtu ananena.Paulo amefafanua vizuri kuwa kama uko ujumbe wa watu wote utafsiriwe.Naam sihitaji uhame hiyo sabato but ufahamu siri ya Roho mt usijawe na mafundisho yakimapokeo.
Romans 14:510
tells us that one man esteems one day of the week above another; another esteems every day alike. Then Scripture tells us that everyone should be fully persuaded in his own mind. We are not to judge each other regarding the day on which we worship.
Jesus did keep the Sabbath. He had to keep the whole Law to be the perfect sacrifice. The Bible makes it clear that the Law has been satisfied in Christ. The reason Paul went to the synagogue each Sabbath wasnt to keep the Law; that would have been contrary to everything he taught about being saved by grace alone (Ephesians 2:8,9). It was so he could preach the gospel to the Jews, as evident in the Book of Acts. Paul had an incredible evangelistic zeal for Israel to be saved (Romans 10:1). To the Jew he became as a Jew, that he might win the Jews (1 Corinthians 9:19,20). That meant he went to where they gathered on the day they gathered.
Ukiangalia Agano la kale hata Waislam wanazungumzia yaliyomo, ukiona jinsi msisitizo wa ufuataji wa sheria ulivyo kwa Waislam hata Wasabato ni hivyo hivyo, wasabato si wakristo! kama watasema wanamkiri kristo hata Waislam wanamkubali (Nabii Issa). Acha kuvutiwa na upande mwingine, wala usisikilize maongezi yao kwa kuwa ni shetani. Yesu aliahidi kuleta msaidizi hakuahidi kutukuza Sabato kwa kuwa alijua ukiongozwa na roho mtakatifu umewekwa huru kwelikweli wala hufungwi na sheria utakuwa mtenda mema na mcha MUNGU si wa unafiki bali wa kweli. Siku imewekwa na wanandamu kuitwa jumamosi au jumapili lakini roho mtakatifu imewekwa na MUNGU mwenyewe kupitia ahadi ya YESU KRISTO mfufuka. Waache wadanganyane kwa kufuata maneno ya aliyeingiwa na pepo Ellen G. White. MUNGU akufungue macho ya Rohoni uweze kutambua ukweli wake.Kwa asilimia kubwa wasabato wanafuata Agano la Kale.
Nashukuru sana na nimeappreciate the way ulivyonijibu ila naomba usome Mwanzo:24:22; 28-47 halafu unisaidie ina maana gani?
Naona unazidi kuleta habari nyingi tu! Hizo ndio zimekua kauli zenu kwamba mapokeo!