mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
karibu mkuu. naona unachepukaEllen G White alikua anapenda sana kitimoto ila akawakataza wenzake wasile. Mambo ya ajabu kabisa.
ni kweli mkuu.Nilijifunza msfundisho kuhusu lishe ni kweli yanasaidia siyo tu life span bali kinga ya mwili nayo huimarika sana.
Well said BrotherWasabato ni watu wenye majukumu maalumu ya Mungu ktk kizazi hiki ni basi tu ubinadamu kujisahau na kuufata ulimwengu na hbr za kukimbizana na fedha jambo ambalo halikupaswa kupewa uzito sana, ila wanaoishi nuru waliyonayo yapo mengi yakujifunza kwao. Mungu tu atusaidie tubadilike
Kwanini?Hapa ndipo nawashangaa sana hawa sda
Pumziko la Sabato!wanaishi miaka 10 zaidi Life expectancy ya mmarekani wa kawaida .
Sababu ni aina ya vyakula wanavyokula sawasawa na mahusia ya Bibilia na kujali mambo ya afya.
Pia Kwa sababu ya Pumziko la Sabato, ambalo linawaondolea stress, linawafanya akili zijipanhe upya na kuwanawirisha kiimani na kuwa na mahusiano ya kudumu na Mungu.
Hii ni kwa wasabato wote pia ulimwenguni wanaoishi kanuni za Bibilia sio wale wengine makanjanja ambao ni wasabato jina.
Hii inamfanya Mtu Kuwa Msabato ni uamuzi Bora kabisa wa kiafya na kiroho maishani mwake ambao hatajuta yeye na familia yake.
Source: HuffingtonPost
Are you serious?Mimi ninataka nife haraka nikamuone Yesu live.