Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

wanaishi miaka 10 zaidi Life expectancy ya mmarekani wa kawaida .

Sababu ni aina ya vyakula wanavyokula sawasawa na mahusia ya Bibilia na kujali mambo ya afya.
Pia Kwa sababu ya Pumziko la Sabato, ambalo linawaondolea stress, linawafanya akili zijipanhe upya na kuwanawirisha kiimani na kuwa na mahusiano ya kudumu na Mungu.

Hii ni kwa wasabato wote pia ulimwenguni wanaoishi kanuni za Bibilia sio wale wengine makanjanja ambao ni wasabato jina.

Hii inamfanya Mtu Kuwa Msabato ni uamuzi Bora kabisa wa kiafya na kiroho maishani mwake ambao hatajuta yeye na familia yake.

Source: HuffingtonPost
Nmemkumbuka msabato mmoja alikuwa anaitwa Desmond Doss. Mliobahatika kuangalia movie Hacksaw Ridge nadhani mtakuwa mnalifahamu jina hilo.
 
Wasabato ni watu wenye majukumu maalumu ya Mungu ktk kizazi hiki ni basi tu ubinadamu kujisahau na kuufata ulimwengu na hbr za kukimbizana na fedha jambo ambalo halikupaswa kupewa uzito sana, ila wanaoishi nuru waliyonayo yapo mengi yakujifunza kwao. Mungu tu atusaidie tubadilike
amina.
 
Mhh..jaman..nafsi inanisuta..!Mungu atusaidie
kikubwa uzima. Mungu anayetupa uhai oia hutoa nafasi ya pili ya kubadilika na Kumrudia.
Maamuzi hayo hanayo yeye. wewe ndio umeshikilia hatma ya maisha yako. Kuchagua kumrudia Mungu au dunia?
Yeye anasema...
'' Tazama nasimama mlangoni nabisha, yeye atakayefungua mlango ...''
 
Nakumbuka nilivyokuwa chuo kuna msabato mmoja tulikuwa tunasoma naye.
Dah.
Jamaa alikuwa serious sana na ishu ya msosi.
Hali mavyakula ya ovyo ovyo kabisa.
BR
Uduzungwa
wasabato wengi wa kizazi kipya hawajui thamani ya mambo wanayoamini.
wachache wanaotambua na wananufaika sana. Wageni wanaokuja na kujifunza misingi na kuwa watiifu huwa imara kuliko wenyeji wasiojali wanachoamini.

huyo jamaa, Mungu ambariki.
 
wanaishi miaka 10 zaidi Life expectancy ya mmarekani wa kawaida .

Sababu ni aina ya vyakula wanavyokula sawasawa na mahusia ya Bibilia na kujali mambo ya afya.
Pia Kwa sababu ya Pumziko la Sabato, ambalo linawaondolea stress, linawafanya akili zijipanhe upya na kuwanawirisha kiimani na kuwa na mahusiano ya kudumu na Mungu.

Hii ni kwa wasabato wote pia ulimwenguni wanaoishi kanuni za Bibilia sio wale wengine makanjanja ambao ni wasabato jina.

Hii inamfanya Mtu Kuwa Msabato ni uamuzi Bora kabisa wa kiafya na kiroho maishani mwake ambao hatajuta yeye na familia yake.

Source: HuffingtonPost
Duh..!!!!! Mitale umeona utoke hivi baada kimya kirefu na kukosa hoja dhidi hoja za SALA NA KAZI.... ,

Cha kushangaza ni kwamba source yako imeshindwa kuainisha ni vyakula vya aina gani wanavyokula hao wa SDA wa Marekani...

Hivi Mitale unafikiri ni aina ya vyakula tuu ndio husababisha umri mrefu...????

Hivi Mitale unajua Mungu mwenyewe ndio aliye acha laana kuhusu umri wa kuishi baada kuchikizwa na mienendo ya babu zetu...????
 
Nmemkumbuka msabato mmoja alikuwa anaitwa Desmond Doss. Mliobahatika kuangalia movie Hacksaw Ridge nadhani mtakuwa mnalifahamu jina hilo.
1564159735033.png

akipewa medali na Rais Trueman.
alipigana www2 bila silaha. aliokoa maisha ya wajeshi wa US zaidi ya 100.
Alikuwa kijana wakisabato muaminifu
 
Duh..!!!!! Mitale umeona utoke hivi baada kimya kirefu na kukosa hoja dhidi hoja za SALA NA KAZI.... ,

Cha kushangaza ni kwamba source yako imeshindwa kuainisha ni vyakula vya aina gani wanavyokula hao wa SDA wa Marekani...

Hivi Mitale unafikiri ni aina ya vyakula tuu ndio husababisha umri mrefu...????

Hivi Mitale unajua Mungu mwenyewe ndio aliye acha laana kuhusu umri wa kuishi baada kuchikizwa na mienendo ya babu zetu...????
asante kwa maoni mkuu.
hakuna hoja ya Sala na kaxi wala yoyote ambayo sijawahi kujibu.

Vyakula na kanuni za Bibilia ikiwemo pumziko la sabato ni vichocheo vya maisha bora.
Kijijini kwq Bibi yangu maji ya kunywa yalichemshwa na wasabato, tena wakichekwa ila siku hizi hadi serikali inawahamasisha.

Ndio maana sijasema kuishi bila kufa without reference. nimefananisha na Life expectance.
Huu ni utafiti unaofanywa na independent watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom